GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili nae awe Jiniasi 'Taalumani' kama Wenzake wote.
Cc: Washauri Wakuu wa Aliyeharibu na Kulikoroga vibaya Jana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
Cc: Washauri Wakuu wa Aliyeharibu na Kulikoroga vibaya Jana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable