GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Dulla na Abdallah wana tofauti?Upuuzi huna hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dulla na Abdallah wana tofauti?Upuuzi huna hoja
Lucas mbishi huyo atakuja hapa aanze kutuambia HOTUBA YA JANA YA MAMA SAMIA WATANZANIA WAMEBUBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA ATAKUJA KUSEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI MAMA ANATOSHA NGOJA AJE LUCAS.Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili nae awe Jiniasi 'Taalumani' kama Wenzake wote.
Cc: Washauri Wakuu wa Aliyeharibu na Kulikoroga vibaya Jana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
Kwakuwa Washauri wake Wakuu akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wanajulikana kuwa ni Madebe tupu.Kwa nini unaamini kwamba alichokisema ni matokeo ya ushauri wa watu wengine?
Kwa nini yeye anakubali ushauri wa 'madebe'?Kwakuwa Washauri wake Wakuu akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wanajulikana kuwa ni Madebe tupu.
Na kinachoniuma hasa ni kwamba alikuwa Mwanafunzi wangu mwaka 2012 kuelekea mwaka 2013 pale Chuoni Ilala.Lucas mbishi huyo atakuja hapa aanze kutuambia HOTUBA YA JANA YA MAMA SAMIA WATANZANIA WAMEBUBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA ATAKUJA KUSEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI MAMA ANATOSHA NGOJA AJE LUCAS.
Ni mjinga tuu huyo popoma achana naeKwa nini unaamini kwamba alichokisema ni matokeo ya ushauri wa watu wengine?
Huenda nae ni Debe.Kwa nini yeye anakubali ushauri wa 'madebe'?
Kusema ccm ni wabovu au kiongozi wake ni mbovu unahitaji PhD kubaini hilo mkuu.Wewe popoma jitabidi kupunguza ujinga.
Unachoongea hakuna ushahidi Wala mantiki.
Mimi nitakuwa jf baada ya shughuli zangu,jf ni sehemu yangu ya burudani na napenda sana mijadala.
Sio humu tuu hata vijiweni Huwa nawabana Kwa hoja wale hayers wote.
Wabongo wengi kikawaida ni akili ndogo Huwa wanaishi Kwa masimulizi umbea na upuuzi mwingine hawana facts wala hawajui chochote kinachoendelea.
Unakutana na mtu anakwambia huyu xy hamna kitu ,unaniuliza una uhakika? Kitu gani hamna? Anaanza kumbwela.
Sasa vilaza wa humu jf Huwa wanaanza matusi,mara wakuite chawa na upumbavu mwingine.
Sasa kwa.kuwa Mimi nawafahamu ndio maana nanyoka na nyie Hadi maji muite mmmaaa.
Nauliza tena je, kuna tofauti yoyote ile kati ya Side na Said au Dulla na Abdallah?Ni mjinga tuu huyo popoma achana nae
Umepata muda wako adhimu wapi Mkuu wa Kupoteza kabisa Kumuelimisha huyu Masikini wa Fikra aliyewekeza katika Uchawa?Kusema ccm ni wabovu au kiongozi wake ni mbovu unahitaji PhD kubaini hilo mkuu.
Mbona hata kindergarten anakueleza vizuri tu.
Nchi imejaa rushwa na matumizi mabaya ya mali na rasilimali za umma.
Nchi gani hapa Afrika imemaliza rushwa? Matumizi mabovu ya Rasilimali ni kama yapi?Kusema ccm ni wabovu au kiongozi wake ni mbovu unahitaji PhD kubaini hilo mkuu.
Mbona hata kindergarten anakueleza vizuri tu.
Nchi imejaa rushwa na matumizi mabaya ya mali na rasilimali za umma.
Hivi na wewe una akili kichwani mwako hadi umfundishe mtu? Hivi na wewe unaweza kukanyaga viunga vya chuo chochote hapa Nchini kama Mwanafunzi wake? Hivi na wewe kuna mtihani wowote unaoweza kufaulu ukipewa?Na kinachoniuma hasa ni kwamba alikuwa Mwanafunzi wangu mwaka 2012 kuelekea mwaka 2013 pale Chuoni Ilala.
Hatimaye sasa Side Kapumzika kwa muda na Said kaja Kuendeleza Jaramba.Hivi na wewe una akili kichwani mwako hadi umfundishe mtu? Hivi na wewe unaweza kukanyaga viunga vya chuo chochote hapa Nchini kama Mwanafunzi wake? Hivi na wewe kuna mtihani wowote unaoweza kufaulu ukipewa?
Huna hoja Nzito mkuu,basi tuu.Wewe popoma jitabidi kupunguza ujinga.
Unachoongea hakuna ushahidi Wala mantiki.
Mimi nitakuwa jf baada ya shughuli zangu,jf ni sehemu yangu ya burudani na napenda sana mijadala.
Sio humu tuu hata vijiweni Huwa nawabana Kwa hoja wale hayers wote.
Wabongo wengi kikawaida ni akili ndogo Huwa wanaishi Kwa masimulizi umbea na upuuzi mwingine hawana facts wala hawajui chochote kinachoendelea.
Unakutana na mtu anakwambia huyu xy hamna kitu ,unaniuliza una uhakika? Kitu gani hamna? Anaanza kumbwela.
Sasa vilaza wa humu jf Huwa wanaanza matusi,mara wakuite chawa na upumbavu mwingine.
Sasa kwa.kuwa Mimi nawafahamu ndio maana nanyoka na nyie Hadi maji muite mmmaaa.
Nimekuona wewe mpumbavu unanipotezea mda na energy yangu tuu.Hatimaye sasa Side Kapumzika kwa muda na Said kaja Kuendeleza Jaramba.
Cc: Said a.k.a ChoiceVariable
Njooni UDOM huku!Hivi na wewe una akili kichwani mwako hadi umfundishe mtu? Hivi na wewe unaweza kukanyaga viunga vya chuo chochote hapa Nchini kama Mwanafunzi wake? Hivi na wewe kuna mtihani wowote unaoweza kufaulu ukipewa?
Hoja nzito kwako ni kama zipi? Basi tuu ndio manake nini?Huna hoja Nzito mkuu,basi tuu.
Naona sasa Said karejea ghafla Jarambani na Side a.k.a Lucas Mwashambwa kapumzika.Nimekuona wewe mpumbavu unanipotezea mda na energy yangu tuu.
Msigombane, twende pamojaNimekuona wewe mpumbavu unanipotezea mda na energy yangu tuu.