GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bado hujasema Hadi usemeNa bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili nae awe Jiniasi 'Taalumani' kama Wenzake wote.
Cc: Washauri Wakuu wa Aliyeharibu na Kulikoroga vibaya Jana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
Nadhani wanafunzi Hawa hawakukuelewa!Walikariri majibu.Anza upya kuwafundisha .Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili nae awe Jiniasi 'Taalumani' kama Wenzake wote.
Cc: Washauri Wakuu wa Aliyeharibu na Kulikoroga vibaya Jana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
ChoiceVariable ana jina kubwa humu jf wakati hata SSH hamjui Wala hicho Cheo Cha ushauri wa Rais hana.Nadhani wanafunzi Hawa hawakukuelewa!Walikariri majibu.Anza upya kuwafundisha .
Mama alisema huwa anapitia humu!Anawafahamu na Mwashambwa basi tuu,teuzi Bado mtapata hata kukimbiza mwenge.ChoiceVariable ana jina kubwa humu jf wakati hata SSH hamjui Wala hicho Cheo Cha ushauri wa Rais Sina.
Mpaka hapa nimeamini jf Kuna vilaza aisee ππππ
Kwanini ID ya Lucas Mwashambwa ikipigwa sana Makombora ya Kiyahudi haraka sana inatulia na hii ya ChoiceVariable inaibuka? Mwenyewe unajiona una Akili wakati Watu wenye Akili Kubwa na tunaokuzidi hapa JamiiForums tunakuchora na kukusanifu tu tukiamini kuwa Siku zote Side ndiyo yule yule Said.ChoiceVariable ana jina kubwa humu jf wakati hata SSH hamjui Wala hicho Cheo Cha ushauri wa Rais Sina.
Mpaka hapa nimeamini jf Kuna vilaza aisee ππππ
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺππππ Mfano Mimi sio mwana ccm ataniteuaje?Mama alisema huwa anapitia humu!Anawafahamu na Mwashambwa basi tuu,teuzi Bado mtapata hata kukimbiza mwenge.
Teuzi zingine hazihitaji chama mkuu,wewe mwenge unakufaa,ndio uzuri wa JF na watabiri tumo humu!π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺππππ Mfano Mimi sio mwana ccm ataniteuaje?
Jikiteni kwenye hoja acheni upumbavu,ukiona namkibaki mtu ujue namkubali Kwa hoja na matokeo.
Mimi sio kama nyie mnaedai mnawapenda kina Fulani kama wake au waume zenu.
Aisee nimeamini jf Kuna punguani wengi, yaani Kuna watu wanaamini napewa hela Kuandika humu jukwaani π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe popoma jitabidi kupunguza ujinga.Kwanini ID ya Lucas Mwashambwa ikipigwa sana Makombora ya Kiyahudi haraka sana inatulia na hii ya ChoiceVariable inaibuka? Mwenyewe unajiona una Akili wakati Watu wenye Akili Kubwa na tunaokuzidi hapa JamiiForums tunakuchora na kukusanifu tu tukiamini kuwa Siku zote Side ndiyo yule yule Said.
ID ya Lucas Mwashambwa na yenyewe itanijbu Saa ngapi?Wewe popoma jitabidi kupunguza ujinga.
Unachoongea hakuna ushahidi Wala mantiki.
Mimi nitakuwa jf baada ya shughuli zangu,jf ni sehemu yangu ya burudani na napenda sana mijadala.
Sio humu tuu hata vijiweni Huwa nawabana Kwa hoja wale hayers wote.
Wabongo wengi kikawaida ni akili ndogo Huwa wanaishi Kwa masimulizi umbea na upuuzi mwingine hawana facts wala hawajui chochote kinachoendelea.
Unakutana na mtu anakwambia huyu xy hamna kitu ,unaniuliza una uhakika? Kitu gani hamna? Anaanza kumbwela.
Sasa vilaza wa humu jf Huwa wanaanza matusi,mara wakuite chawa na upumbavu mwingine.
Sasa kwa.kuwa Mimi nawafahamu ndio maana nanyoka na nyie Hadi maji muite mmmaaa.
Mimi nikiwa Kiongozi wa Mwenge ,Watendaji watalia maana hawawezi kunidanganya ninajua pakuwakamatia labda niwapotezee tuu kisela ππTeuzi zingine hazihitaji chama mkuu,wewe mwenge unakufaa,ndio uzuri wa JF na watabiri tumo humu!
Cc: Lucas MwashambwaUlikuwa unafundisha viazi.
Muulize kwani Mimi tunahusianaje na Lucas?ID ya Lucas Mwashambwa na yenyewe itanijbu Saa ngapi?
Pakuwajamatia ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Kumbe ndiyo maana hata Jana Mama yenu mkamponza akaharibu.Mimi nikiwa Kiongozi wa Mwenge ,Watendaji watalia maana hawawezi kunidanganya ninajua pakuwajamatia labda niwapotezee tuu kisela ππ
Unamdanganya mhandisi tena mtu mwenyewe kama Mimi nimfuatiliaji sihitaji kusimuliwa π€£π€£π€£π€£
Mimi napenda kitengo Cha mambo ya uchumi na mipango full stop , vinginevyo niendelee na mijadala yangu jf ya kukosa na kudefend pale inapobidi.
Side na Said wana tofauti?Muulize kwani Mimi tunahusianaje na Lucas?
Malizia mbatataUlikuwa unafundisha viazi.
Upuuzi huna hojaSide na Said wana tofauti?