Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

Kama mmeshindwa ni logic ndogo tu kwamba mtupishe hamtufai
Kama hapo ulipo hujui matumizi mabaya rasilimali za umma hatutaweza kuelewana mkuu.
Wawapishe au siyo? Kwa kuwa Chadomo rushwa hakuna au Mimi ndio sijaelewa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kama Hako la saccos mnatoana meno Kwa rushwa ,ikiwa Nchi mtatuacha salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…