jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Sasa hivi kesha tepeta, Wema alikua Wema kweli, ukisikia Wema Kanumba kilikua chuma kweli kweli!!Sasa hivi wema hayuko hot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi kesha tepeta, Wema alikua Wema kweli, ukisikia Wema Kanumba kilikua chuma kweli kweli!!Sasa hivi wema hayuko hot?
Halafu uzuri wa kuwa MwanaumeSasa hivi kesha tepeta, Wema alikua Wema kweli, ukisikia Wema Kanumba kilikua chuma kweli kweli!!
Uwaziri ulimpa rasilimali na ujasiri na ndio sababu jamaa huyo huyo angekuwa oya oya mtaani angeishia kumwita shemAlifanya hayo kama Waziri (Katika shughuli zake za Ki-Uwaziri)au Kama Raia / Mlafi yoyote tu anavyoweza kufanya ?
Yeye Diamond ameshaondoka na so called mademu wa wadau wangapi ? Nadhani kama demu wake alikuwa swayed wa kumlaumu ni huyo demu kwa kutokuwa loyal....; sababu kama huyo jamaa ni kiwembe na sketi hazimpiti (personal private behaviors) na hatumuhukumu akiwa kitaa nadhani akiwa Waziri pia tumsimlaumu unless akianza kutumia Kodi zetu na muda wetu kuendekeza tabia zake.....Uwaziri ulimpa rasilimali na ujasiri na ndio sababu jamaa huyo huyo angekuwa oya oya mtaani angeishia kumwita shem
We unaleta mambo yakijinga na yakalee... Leta hoja general na za kimaendeleo kugongewa hatawewe utakuwa unagongewa hilo silakujadili wanaume watu wazimaa kaposti fesbukuNatafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.
Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.
Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?
Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......
Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.
Mwanaume hazeeki mapema,tena akiwa na pesa ndiyo anarudi utoto kabisa!!Halafu uzuri wa kuwa Mwanaume
waliemtepetesha bado wako timaaaamu na wengine ni manaibu huko Serikali wanaendelea kukata tepe za watoto wa loan board kule Dodoma na hapa Darusalaam