Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

Alifanya hayo kama Waziri (Katika shughuli zake za Ki-Uwaziri)au Kama Raia / Mlafi yoyote tu anavyoweza kufanya ?
 
Sasa hivi kesha tepeta, Wema alikua Wema kweli, ukisikia Wema Kanumba kilikua chuma kweli kweli!!
Halafu uzuri wa kuwa Mwanaume

waliemtepetesha bado wako timaaaamu na wengine ni manaibu huko Serikali wanaendelea kukata tepe za watoto wa loan board kule Dodoma na hapa Darusalaam
 
Alifanya hayo kama Waziri (Katika shughuli zake za Ki-Uwaziri)au Kama Raia / Mlafi yoyote tu anavyoweza kufanya ?
Uwaziri ulimpa rasilimali na ujasiri na ndio sababu jamaa huyo huyo angekuwa oya oya mtaani angeishia kumwita shem
 
Uwaziri ulimpa rasilimali na ujasiri na ndio sababu jamaa huyo huyo angekuwa oya oya mtaani angeishia kumwita shem
Yeye Diamond ameshaondoka na so called mademu wa wadau wangapi ? Nadhani kama demu wake alikuwa swayed wa kumlaumu ni huyo demu kwa kutokuwa loyal....; sababu kama huyo jamaa ni kiwembe na sketi hazimpiti (personal private behaviors) na hatumuhukumu akiwa kitaa nadhani akiwa Waziri pia tumsimlaumu unless akianza kutumia Kodi zetu na muda wetu kuendekeza tabia zake.....
 
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.

Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.

Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?

Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......

Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.
We unaleta mambo yakijinga na yakalee... Leta hoja general na za kimaendeleo kugongewa hatawewe utakuwa unagongewa hilo silakujadili wanaume watu wazimaa kaposti fesbuku
 
Halafu uzuri wa kuwa Mwanaume

waliemtepetesha bado wako timaaaamu na wengine ni manaibu huko Serikali wanaendelea kukata tepe za watoto wa loan board kule Dodoma na hapa Darusalaam
Mwanaume hazeeki mapema,tena akiwa na pesa ndiyo anarudi utoto kabisa!!
 
bila shaka ni yule wa Bumbuli maana kina Lisa Jenseny ashapitaga nao na nlimuona kwa macho yangu
 
Back
Top Bottom