Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi.
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani mkubwa na kuona hadhi yake ni maais na wafalme wenzake pekee hafai kabisa!
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani mkubwa na kuona hadhi yake ni maais na wafalme wenzake pekee hafai kabisa!