Kama wazungu walipingana katika Ukristo kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?

Kanisa ni mwili wa kristo na si jengo. Ukija kwenye dini basi itoshe kusema ukristo sio dini bali ni mfumo wa maisha ya kiroho ndani ya kristo. Waafrika wana dini zao hizo ulizozitaja
Unaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?
 
Hiv mnajua ukristo ulikuwepo afrika kabla ya ulaya? Ulishawah kufika ethiopia? Au misri? Jitahdini msafiri na mfanye research ndugu zangu acheni kulishwa matango pori
Huko haukuletwa na wakoloni ndio ,ila bado uliletwa na wafanya biashara na watu wa magharibi .
 
Unaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?
ni kule Antiokia kulikoanzia wafuasi wa Yesu kuanza kuitwa wakristo, na kristo ndiye Yesu mwenyewe
 
Kabla ya ukistro hilo ni neno la kigiriki unafahamu hilo? Na lilikua linatumika maelfu ya miaka nyuma? Je unafahamu mchago wa ugiriki kwenye ukristo chini ya mfalme Constantine?
 
Me nkajua unapinga dini kumbe unapinga ukristo pekeake unatujazia nyuzi tu uislam ata kuitafsiri quran haitakiwi unagomba kutokua na dini ya kikristo imeanzia africa.
Ukiamini uislam amini ukristo upo and vise versa nje ta hapo dini zote ni za mataperi hizi
 
Unaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?
ni neno la kiyunani/kigiriki lenye kumaanisha mpakwa mafuta, au masihi kwa kiebrania. Ili uwe kiomgozi ulipakwa mafuta. Kwa hiyo Yesu ni masihi/mpakwa mafuta aliyetumwa na Mungu kuwakomboa wanadamu kutoka utumwani mwa shetani, kuwaokoa kutoka dhambini
 
Una ndogo sana ya kuelewa unachokiamini mkuu
 
Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?

Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?

Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata moja aliliasisi Mwafrika?

Basi ni wazi ukristo siyo kwaajili ya Waafrika hivyo ni wakati wa Waafrika kutafuata dini yao ya kweli ya WAAFRIKA
Ukristo una misingi yake Afrika, Musa kiongozi mkubwa wa torati alizaliwa Afrika, aliishi Afrika kabla ya kuondoka, alioa muafrika. Suleiman alizaa na muafrika, manabii wengi kama kina Yeremia walipiga route Afrika, Yesu baada ya kuzaliwa alikaa Afrika kabla ya kurudi Nazareti, Muafrika alimsaidia Yesu kubeba msalaba, Filipo mmoja wa mitume wa Yesu alimhubiri na kumbatiza Mwafrika.

Nakala za kale kabisa za vitabu vinavyounda Biblia zimehifadhiwa Ethiopia, Afrika. Chuo cha Biblia cha kale sana kilikuwepo Alexandria, Afrika.

Afrika iliyo kichwani mwako ni ndogo sana.
 
Sasa ufutwe ukristo Ili iweje wewe Mfuasi wa mudi na Allah,hujui kwamba ukristo ndo unasababisha amani na Furaha iliyopo mpaka unakuja kuandika ujinga humu? Rejea kwenye mataifa yanayoendeshwa kiislamu kama Afghanistan unaona wanavyoishi kama wanyama wasio na akili Wala ustaarabu.
 
Waislamu mkirushiana majini huko mnaenda kuombewa kanisani halafu unataka makanisa yafungwe we una akili kichwani kweli?
 
Ukristo una misingi yake Afrika, Musa kiongozi mkubwa wa torati alizaliwa Afrika, aliishi Afrika kabla ya kuondoka, alioa muafrika. Suleiman alizaa na muafrika, manabii wengi kama kina Yeremia walipiga route Afrika, Yesu baada ya kuzaliwa alikaa Afrika kabla ya kurudi Nazareti, Muafrika alimsaidia Yesu kubeba msalaba, Filipo mmoja wa mitume wa Yesu alimhubiri na kumbatiza Mwafrika.

Nakala za kale kabisa za vitabu vinavyounda Biblia zimehifadhiwa Ethiopia, Afrika. Chuo cha Biblia cha kale sana kilikuwepo Alexandria, Afrika.

Afrika iliyo kichwani mwako ni ndogo sana.
nadhani hapa itakuwa mwisho wa mjadala, umeivunjavunja hoja ya huyo mpinga ukristo Afrika
 
Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?

Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?

Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata moja aliliasisi Mwafrika?

Basi ni wazi ukristo siyo kwaajili ya Waafrika hivyo ni wakati wa Waafrika kutafuata dini yao ya kweli ya WAAFRIKA
Hakika dini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Tafuta neno ukristo ni dini ya kweli kwenye biblia kama utalikuta, ukristo ni upagani.
 
Ukristo sio dini:
Ukristo ni Imani hii hapa:

Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

"Atakaye amini na kubatizwa ataokoka" IMANI NI KUAMINI

Dini ni hiyo nyingine:

Wewe umemeza kila ulichokikuta mbele yako,soma hii na uache kumeza kila kitu fukunyua
 
Attachments

  • 2025_04_10_22.48.46.png
    2025_04_10_22.48.46.png
    317.6 KB · Views: 32
Back
Top Bottom