HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #41
U
"Je, kuna ushahidi wowote wa kihistoria wa Mfalme Sulemani?
Ingawa hakuna uthibitisho wa moja kwa moja wa maandishi au wa kiakiolojia wa Sulemani ambao umegunduliwa , wanaakiolojia wanaendelea kutafuta madokezo ambayo yanaweza kuthibitisha sehemu kuu za utawala wake kama inavyofafanuliwa katika Biblia, kutia ndani utajiri wake wa hadithi, uhusiano wa kibiashara, na miradi ya ujenzi."
Utakapo tambua kuwa yote hayo uliyoyaandika ni kwa mtazamo wa kimagharibi kulingana na maandiko yao na siyo mtazamo wa KIAFRIKA basi utakuwa umejikomboa kifikira,anza kufuatilia vitabu vilivyoandikwa kwa mlengo wa Afrika achana na hadithi za wazungu za kwenye biblia hakuna ukweli wa ulichoandika.Ukristo una misingi yake Afrika, Musa kiongozi mkubwa wa torati alizaliwa Afrika, aliishi Afrika kabla ya kuondoka, alioa muafrika. Suleiman alizaa na muafrika, manabii wengi kama kina Yeremia walipiga route Afrika, Yesu baada ya kuzaliwa alikaa Afrika kabla ya kurudi Nazareti, Muafrika alimsaidia Yesu kubeba msalaba, Filipo mmoja wa mitume wa Yesu alimhubiri na kumbatiza Mwafrika.
Nakala za kale kabisa za vitabu vinavyounda Biblia zimehifadhiwa Ethiopia, Afrika. Chuo cha Biblia cha kale sana kilikuwepo Alexandria, Afrika.
Afrika iliyo kichwani mwako ni ndogo sana.