Unaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?Kanisa ni mwili wa kristo na si jengo. Ukija kwenye dini basi itoshe kusema ukristo sio dini bali ni mfumo wa maisha ya kiroho ndani ya kristo. Waafrika wana dini zao hizo ulizozitaja
Huko haukuletwa na wakoloni ndio ,ila bado uliletwa na wafanya biashara na watu wa magharibi .Hiv mnajua ukristo ulikuwepo afrika kabla ya ulaya? Ulishawah kufika ethiopia? Au misri? Jitahdini msafiri na mfanye research ndugu zangu acheni kulishwa matango pori
Ipi hiyo? Hebu nitajie maneno mawili tu ya Kiswahili yenye herufi Q na XModerator na bosi mkubwa Maxence Melo hii Nini tena
ni kule Antiokia kulikoanzia wafuasi wa Yesu kuanza kuitwa wakristo, na kristo ndiye Yesu mwenyeweUnaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?
Kabla ya ukistro hilo ni neno la kigiriki unafahamu hilo? Na lilikua linatumika maelfu ya miaka nyuma? Je unafahamu mchago wa ugiriki kwenye ukristo chini ya mfalme Constantine?ni kule Antiokia kulikoanzia wafuasi wa Yesu kuanza kuitwa wakristo, na kristo ndiye Yesu mwenyewe
ni neno la kiyunani/kigiriki lenye kumaanisha mpakwa mafuta, au masihi kwa kiebrania. Ili uwe kiomgozi ulipakwa mafuta. Kwa hiyo Yesu ni masihi/mpakwa mafuta aliyetumwa na Mungu kuwakomboa wanadamu kutoka utumwani mwa shetani, kuwaokoa kutoka dhambiniUnaelewa maana ya kristo na chimbuko lake lakini?na ninani alipendekeza hilo jina kutumika na kwa dhumuni gani?
Una ndogo sana ya kuelewa unachokiamini mkuuni neno la kiyunani/kigiriki lenye kumaanisha mpakwa mafuta, au masihi kwa kiebrania. Ili uwe kiomgozi ulipakwa mafuta. Kwa hiyo Yesu ni masihi/mpakwa mafuta aliyetumwa na Mungu kuwakomboa wanadamu kutoka utumwani mwa shetani, kuwaokoa kutoka dhambini
tumepishana wapi mkuu?Una ndogo sana ya kuelewa unachokiamini mkuu
Ukristo una misingi yake Afrika, Musa kiongozi mkubwa wa torati alizaliwa Afrika, aliishi Afrika kabla ya kuondoka, alioa muafrika. Suleiman alizaa na muafrika, manabii wengi kama kina Yeremia walipiga route Afrika, Yesu baada ya kuzaliwa alikaa Afrika kabla ya kurudi Nazareti, Muafrika alimsaidia Yesu kubeba msalaba, Filipo mmoja wa mitume wa Yesu alimhubiri na kumbatiza Mwafrika.Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?
Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?
Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata moja aliliasisi Mwafrika?
Basi ni wazi ukristo siyo kwaajili ya Waafrika hivyo ni wakati wa Waafrika kutafuata dini yao ya kweli ya WAAFRIKA
Sasa ufutwe ukristo Ili iweje wewe Mfuasi wa mudi na Allah,hujui kwamba ukristo ndo unasababisha amani na Furaha iliyopo mpaka unakuja kuandika ujinga humu? Rejea kwenye mataifa yanayoendeshwa kiislamu kama Afghanistan unaona wanavyoishi kama wanyama wasio na akili Wala ustaarabu.Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?
Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?
Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata moja aliliasisi Mwafrika?
Basi ni wazi ukristo siyo kwaajili ya Waafrika hivyo ni wakati wa Waafrika kutafuata dini yao ya kweli ya WAAFRIKA
Imani haihitaji akilitumepishana wapi mkuu?
nadhani hapa itakuwa mwisho wa mjadala, umeivunjavunja hoja ya huyo mpinga ukristo AfrikaUkristo una misingi yake Afrika, Musa kiongozi mkubwa wa torati alizaliwa Afrika, aliishi Afrika kabla ya kuondoka, alioa muafrika. Suleiman alizaa na muafrika, manabii wengi kama kina Yeremia walipiga route Afrika, Yesu baada ya kuzaliwa alikaa Afrika kabla ya kurudi Nazareti, Muafrika alimsaidia Yesu kubeba msalaba, Filipo mmoja wa mitume wa Yesu alimhubiri na kumbatiza Mwafrika.
Nakala za kale kabisa za vitabu vinavyounda Biblia zimehifadhiwa Ethiopia, Afrika. Chuo cha Biblia cha kale sana kilikuwepo Alexandria, Afrika.
Afrika iliyo kichwani mwako ni ndogo sana.
Hakika dini ya kweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni UislamuKama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?
Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti?
Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata moja aliliasisi Mwafrika?
Basi ni wazi ukristo siyo kwaajili ya Waafrika hivyo ni wakati wa Waafrika kutafuata dini yao ya kweli ya WAAFRIKA
Nakwambia hivi acha uhuniIpi hiyo? Hebu nitajie maneno mawili tu ya Kiswahili yenye herufi Q na X
Jibu swali, ni maneno yapi ya Kiswahili yenye herufi Q na X?Nakwambia hivi acha uhuni
Acha uhuni mkuuJibu swali, ni maneno yapi ya Kiswahili yenye herufi Q na X?
Ukristo sio dini:
Ukristo ni Imani hii hapa:
Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
"Atakaye amini na kubatizwa ataokoka" IMANI NI KUAMINI
Dini ni hiyo nyingine: