Kama wazungu walipingana katika Ukristo kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?

U Utakapo tambua kuwa yote hayo uliyoyaandika ni kwa mtazamo wa kimagharibi kulingana na maandiko yao na siyo mtazamo wa KIAFRIKA basi utakuwa umejikomboa kifikira,anza kufuatilia vitabu vilivyoandikwa kwa mlengo wa Afrika achana na hadithi za wazungu za kwenye biblia hakuna ukweli wa ulichoandika.

"Je, kuna ushahidi wowote wa kihistoria wa Mfalme Sulemani?
Ingawa hakuna uthibitisho wa moja kwa moja wa maandishi au wa kiakiolojia wa Sulemani ambao umegunduliwa , wanaakiolojia wanaendelea kutafuta madokezo ambayo yanaweza kuthibitisha sehemu kuu za utawala wake kama inavyofafanuliwa katika Biblia, kutia ndani utajiri wake wa hadithi, uhusiano wa kibiashara, na miradi ya ujenzi."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…