Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

mbona umerudi kumjibu haujampotezea. Au kwakuwa yeye ni jinsia kinzani?
Ni client wangu huyu (mimi ni lawyer wake) , nikipandisha jazba basi imekula kwangu. stuka mkuu
 
dah... Niko hivyohivyo, ukiuliza na mie nakuuliza, mchonganishi, nA kila kitu najua mimi
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.

Hivi kuna watu wenye majungu kama wana sisi emu,naona hao ndio watakuwa wanakukera sana au na wewe ni mmoja wao?
 
dah... Niko hivyohivyo, ukiuliza na mie nakuuliza, mchonganishi, nA kila kitu najua mimi

hongera kwakuwa na sifa zinazonikwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…