Kama wewe mtoto wa kiume, dada zako wakiolewa furahi sana, shukuru Mungu

Kama wewe mtoto wa kiume, dada zako wakiolewa furahi sana, shukuru Mungu

Sentensi tata. Walioa wanakaa hapo kwa ba mkubwa wako au kwenye miji yao?
Kila mtu ana kwake. Kwenye nyumba yetu hakuna shida ila kwa baba mkubwa ndo kuna shida japo waliooa wanakaa kwao ila dada(mawifi) bado wapo nyumbani na wanaamini kua wana haki na kaka zao .
 
Ndo maana huwa mnakata mauno kwa furaha sana siku ya sendoff! Kukenua dadaako anaenda kupigwa ukuni kwangu BIG NO!
 
Unaona wivu au?
Nilipata wivu alipoolewa dada yangu mdogo maana yule alikuwa innocent kabisa yaani kitu new.
Ila alipoolewa mkubwa nilifurahia maana alikuwa chama la wana mixer waume za watu kesi kila siku bora alivyooenda
 
Nilipata wivu alipoolewa dada yangu mdogo maana yule alikuwa innocent kabisa yaani kitu new.
Ila alipoolewa mkubwa nilifurahia maana alikuwa chama la wana mixer waume za watu kesi kila siku bora alivyooenda
Hahahhaa angebaki angekua kivuruge huyo...bora
 
Ni upuuzi tu mimi dada angu anaanzaje kuingilia ndoa yangu yaani anapata wapi kwanza hiyo akili ya kipuuzi.
Ukiona dada ako anaingilia ndoa yako ni sababu hakuheshimu toka mwanzo...

Nataniana sana na dada zangu lakini kamwe sijawahi kuona dada angu akithubutu hata ku comment lolote kwenye ndoa yangu coz anajua kabisa toka nipo mdogo sipangiwagi kabisaaaa.Mama angu mzazi mwenye atashauri tu ila hajawahi katu kuingilia mambo ya ndoa yangu,amenilea lkn anajua tutaishia kupeana kavu kavu....

Kwanza huo ni uswahili na unapatikana uswahilini....

Mimi nakua hata shangaZi yangu ,baba mdg na mkubwa hawajawahi hata kuniweka chini na kunipangia cha kufanya hapa na umri huu mtu aje kuingilia ndoa yangu!!!!!!majina tu ya watoto nilimwambia mama kaa mbali kabisa watoto wako uliwachagulia majina,wangu nitawachagulia majina sitaki msaada kwa hili.Na hapo ndo kanizoea kweli kweli mixer kutaniana....

Hao dada zenu waambie watafute kazi sio Ndoa.
 
Back
Top Bottom