Ni upuuzi tu mimi dada angu anaanzaje kuingilia ndoa yangu yaani anapata wapi kwanza hiyo akili ya kipuuzi.
Ukiona dada ako anaingilia ndoa yako ni sababu hakuheshimu toka mwanzo...
Nataniana sana na dada zangu lakini kamwe sijawahi kuona dada angu akithubutu hata ku comment lolote kwenye ndoa yangu coz anajua kabisa toka nipo mdogo sipangiwagi kabisaaaa.Mama angu mzazi mwenye atashauri tu ila hajawahi katu kuingilia mambo ya ndoa yangu,amenilea lkn anajua tutaishia kupeana kavu kavu....
Kwanza huo ni uswahili na unapatikana uswahilini....
Mimi nakua hata shangaZi yangu ,baba mdg na mkubwa hawajawahi hata kuniweka chini na kunipangia cha kufanya hapa na umri huu mtu aje kuingilia ndoa yangu!!!!!!majina tu ya watoto nilimwambia mama kaa mbali kabisa watoto wako uliwachagulia majina,wangu nitawachagulia majina sitaki msaada kwa hili.Na hapo ndo kanizoea kweli kweli mixer kutaniana....
Hao dada zenu waambie watafute kazi sio Ndoa.