Kama wewe mtoto wa kiume, dada zako wakiolewa furahi sana, shukuru Mungu

Mm kinachoniuma sio dada kuolewa,,

Bali ni pale Shemeji kuwa ni mteja mkubwa sana wa vumbi la mkongo..

Kwa kweli nawaza sana kinachofuata baadae..
 
issue sio kuolewa, issue ni anaolewa kipindi gani.
 
Sasa unaogopa dini? au unogopa wanadamu??
Mwenye dini anamwona anachokifanya,yeye anaogopa wanadamu...Kati ya majibu nayaona ya kipuzi na kinafiki ni "Dini linakataa" lakini kuwa na mchepuko dini linakubali ?,kabla ya dini watu walioa kimila Bora uoe kuliko kuwa na mchepuko.
 
Unaanzaje kumwambia dadako atafute bwana? Kauli ngumu sana hiyo ataona unamfukuza..akipata shukuru sana
Kinachonikera wanao mdeti mkuu ndio kero angekuwa na mmoja angalau unamjua huyu Shem, Sasa yeye ni wa kubadilishabadilisha.
 
Kuna mchepuko wangu mpaka nauonea huruma. natamani ndoa ingekuwa kazi niutafutie. 30 hiyo hakuna ndoa, chali mbaya waoaji hawaonekani.
Ww umeufanya mchepuko sasa mwenzio ataolewa saaa ngapi[emoji2]
 
Ni kweli dada zako wakiolewa ni heshma kubwa kwa familia. Mimi niko pekee yangu wa kiume dada zangu wote walisha olewa tulifurahi sana aisee hamna aibu hata moja!
Aibu kivipi jmn[emoji25]
 
Chanzo nii malezi mabovu ya kuwalea hao watoto wa kike na wala msiseme kuwa nature ya mawifi wakorofi huu ni uongo.

Kama mzee wako hakuwapa msingi wa kuwalea watoto wa kike katika maadili mema na adabu na heshima kwa wengine basi unaweza kuwa sahihi.

Lakini solution bi kurekebisha tabia tokea mwanzo,sio kukimbia jambo hili,kila siku mtalalamika humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…