Kama wewe ni kiongozi tafadhali changamkia hii fursa

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,055
Iwe ni kiongozi wa kisiasa au wa namna yeyote unaetambulika ima wa jamii au wa mtaa jaribu kuomba hii ukapate exposure na maarifa.

kama una mda jaribu kuomba, ukienda huko hupewi pesa ila mambo ya usafiri, malazi na chakula watakugharamia wao.

Ama kama unamfahamu mtu yeyote ambae ni kiongozi mfikishie huu ujumbe


Jamii Forum
Be the first to know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…