Mimba za bahati mbaya ndo Kama hizi ndo Kama wewe SADGharama Ya kumtengeneza Dishi/Chizi/ yafika โฌ333,000,000,000,000 wanadamu wanataka vitu duniani duuu
Ngoja nikasome masters niijue hii maada inamlengo gani ๐๐๐..
Hii mada ina harufu gani ya Maiti Iliyopelekwa mortuary au Maiti iliyokutwaa imeoza ndani na defender ya polisi
Nyuma ya pazia unatakiwa ukawe daktari wa Ugonjwa Gani!?
Mbumge? Rekebisha heading kama ulimaanisha MbungeMpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Gentleman,Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Watabadilisha inshallahHaujui kuwa heading hairekebishwi mpaka moderator
Unakaribishwa kwenye Chuo cha MazombiiiiiMimba za bahati mbaya ndo Kama hizi ndo Kama wewe SAD
Endelea kukaririMiezi mitano, Almost 700ml take home.
Anaamua azitumie kufikia wananchi wake kwenye kampeni, au akatulie nyumbani asubiri raisi aingie jimboni kwake amafte nyuma amnasibu, au vyte wakati mmoja, na inatosha. Hyo akisubiri raisi mantiki yake ataongezewa palipopungua.
Sikia, labda mbunge wa wapi sijui, ila wa ccm.
Kwa miaka ya karibuni kashapita. Sema lazma hela na nyama zao tule. Kama hawa wa chadema. Waache tu, wakajua watapita kwa huruma ya Mungu kama chaguzi za TLS na chaguzi za ndani, lazma tuwale hela. Mapema kwenye kamati ya utekelezaji wa chama acha nijiunge.
Kiinua mgongo kinawatosha kufanya lobbing ya kurud BungeniMpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Usimpe siri wa juzi huyu, muache, atakuja hapa kutafuta ajira tutamkumbushaKiinua mgongo kinawatosha kufanya lobbing ya kurud Bungeni
Sio "robbing", ni " lobbying" .Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Kufanya robbing??Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Robbing or lobbying?Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni .
Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana .
Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).๐น๐ฟ
Cc Takukuru na TanpolRobbing or lobbying?
Ana wenzie ambao walitembelea nyota ya magu, hawata amin kinachokujaUmefanya jambo la maana kuwakumbusha, na mimi naenda direct Babutale siku zako zinahesabika pale Bungeni