comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
(i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE
Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni mlokole?
(ii) Mtu asipokuja kanisani kwanini mnamfuata nyumbani na kumpigia simu??
Sasa kama mtu kapata dharura hajaja kanisani, kuna haja gani ya kuanza kumfuata nyumban na kumpigia simu? Kwani kanisa halijui.? Akitaka kuja si atakuja??
(iii) Kwenda kanisani kwa week zaidi ya mara 1
Sasa mnataka mtu aje kanisani jumatatu, jumatano, ijumaa, jumamosi, jumapili, hiyo kazi huyo muumini anafanya sangapi?? Sadaka atatoa wapi na mda wote yupo tuu kwenye mabenchi..??
(iii) Kuamini kwamba Yesu ni Mungu
Sisi wengine ni wakristo ndio lakini msitulazimishe mnachoamini na sisi tuamini, tabia ya kuwachukia Roman Catholic,KKKT,Anglikana kusema hawajaokoka haitasaidia.