Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Kwa kuwa nyinyi mmeipokea kweli ya neno la mungu, basi hubirini injili katika mataifa yote wapate kumjua na kumcha bwana, kwa kuwa nyinyi mlisikia mkapokea, wafikishieni na wengine walijue neno la bwana, na endapo watapokea ni heri kwenu na wasipo pokea hatia yao ni juu yao wenyewe, maana walisikia na hawakumcha bwana, lakini endapo nyinyi mmepokea neema ya kuokolewa kwenu kwa kuhubiriwa halafu nanyi msiwahubiri wengine nao wapete kuokolewa, hakika damu yao nitaidai juu ya vichwa vyenu.