comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wanakera mda mwingine bora hata makobaziVita ni vita muraaa 😅
Ubaya wa walokole wa jf ni wa pole wenyewe hawapendi shari Kwahiyo vita haitanoga sana 😖
Kwamba sina kazi nyingne za kufanyaBwana Yesu apewe sifa, ukishakubali tu kuwa mlokole na usihudhulie ibaada tutakupigia simu na usipopokea tutakufata hadi nyumbani kwako kwa kipaza sauti.
Sijakata kamba, ila kwenye ukweli lazima tuwekane sawaKondoo uliyekata kamba
Kwa hiyo mkuu unatamani kobazi wapewe featuring???Vita ni vita muraaa 😅
Ubaya wa walokole wa jf ni wa pole wenyewe hawapendi shari Kwahiyo vita haitanoga sana 😖
Setfree ya kweli hayo.Yaani yale mahubiri yenye wachungaji wawili ambapo mchungaji mmoja anahubiri mwingine anachombeza kile kinachohubiriwa kwa maneno kama, ndiyooo!, jesuu!, Aimen!, Fayaaa! huwa yanapendwa na wanawake hadi wanapatwa na orgasm.
Kumbe bhana Kila kitu ni ubunifu tu dah 😂. Monetary doctor.
kama ulijua una kazi zingine ulitakiwa usiwe mlokole! Sheria yetu ni moja, "hudhuria vipindi vyote kanisani"Kwamba sina kazi nyingne za kufanya
Mi kobaz washkaji zangu, wamenitoa mbali sana kwenye visomo na mitishamba, bora makobaz kuliko walokoleKwa hiyo mkuu unatamani kobazi wapewe featuring???
Sadaka natoa wapi kama inatakiwa mda wote niwe nasugua benchkama ulijua una kazi zingine ulitakiwa usiwe mlokole! Sheria yetu ni moja, "hudhuria vipindi vyote kanisani"
Kiranga kaka itachukua miaka watu kuja kufunguka kwasasa bado hawaelewi ni mambo gani yanaelezwa humu.(i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE
Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni mlokole?
(ii) Mtu asipokuja kanisani kwanini mnamfuata nyumbani na kumpigia simu??
Sasa kama mtu kapata dharura hajaja kanisani, kuna haja gani ya kuanza kumfuata nyumban na kumpigia simu? Kwani kanisa halijui.? Akitaka kuja si atakuja??
(iii) Kwenda kanisani kwa week zaidi ya mara 1
Sasa mnataka mtu aje kanisani jumatatu, jumatano, ijumaa, jumamosi, jumapili, hiyo kazi huyo muumini anafanya sangapi?? Sadaka atatoa wapi na mda wote yupo tuu kwenye mabenchi..??
(iii) Kuamini kwamba Yesu ni Mungu
Sisi wengine ni wakristo ndio lakini msitulazimishe mnachoamini na sisi tuamini, tabia ya kuwachukia Roman Catholic,KKKT,Anglikana kusema hawajaokoka haitasaidia.
kama huna sadaka achana na ulokole. Jumapili saa 2 hadi saa 7 mchana,jumatatu free,jumanne free,jumatano saa 10jioni mpaka saa12jioni,alhamis free ijumaa ni kama jumatano,jumamosi wanakwayaSadaka natoa wapi kama inatakiwa mda wote niwe nasugua bench
Wa Vatican na waarabu ndiyo nawakubali kwenye kujiteteaKwa hiyo mkuu unatamani kobazi wapewe featuring???
Jobless People Church (JPC)kama huna sadaka achana na ulokole. Jumapili saa 2 hadi saa 7 mchana,jumatatu free,jumanne free,jumatano saa 10jioni mpaka saa12jioni,alhamis free ijumaa ni kama jumatano,jumamosi wanakwaya