Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
endelea na upagani wako mkuu mp...vu wewe!Jobless People Church (JPC)
Akili zenu zinawatuma kila mkristo ambae sio mlokole ni mpagani, mtasubiri sanaendelea na upagani wako mkuu mp...vu wewe!
Changia mada acha vitoshKwa kuwa nyinyi mmeipokea kweli ya neno la mungu, basi hubirini injili katika mataifa yote wapate kumjua na kumcha bwana, kwa kuwa nyinyi mlisikia mkapokea, wafikishieni na wengine walijue neno la bwana, na endapo watapokea ni heri kwenu na wasipo pokea hatia yao ni juu yao wenyewe, maana walisikia na hawakumcha bwana, lakini endapo nyinyi mmepokea neema ya kuokolewa kwenu kwa kuhubiriwa halafu nanyi msiwahubiri wengine nao wapete kuokolewa, hakika damu yao nitaidai juu ya vichwa vyenu.
Acha vitisho mkuuu sharo, changia mada, KWANZA KARIBU TULE DONA NA PONO NA SAFARIKwa kuwa nyinyi mmeipokea kweli ya neno la mungu, basi hubirini injili katika mataifa yote wapate kumjua na kumcha bwana, kwa kuwa nyinyi mlisikia mkapokea, wafikishieni na wengine walijue neno la bwana, na endapo watapokea ni heri kwenu na wasipo pokea hatia yao ni juu yao wenyewe, maana walisikia na hawakumcha bwana, lakini endapo nyinyi mmepokea neema ya kuokolewa kwenu kwa kuhubiriwa halafu nanyi msiwahubiri wengine nao wapete kuokolewa, hakika damu yao nitaidai juu ya vichwa vyenu.
Daaah🙌🙌🙌🙌🙌🙌Yaani yale mahubiri yenye wachungaji wawili ambapo mchungaji mmoja anahubiri mwingine anachombeza kile kinachohubiriwa kwa maneno kama, ndiyooo!, jesuu!, Aimen!, Fayaaa! huwa yanapendwa na wanawake hadi wanapatwa na orgasm.
Kumbe bhana Kila kitu ni ubunifu tu dah 😂. Monetary doctor.
Niwekee safari 8 zinanitosha, hilo dona nakuachia wewe na kitambi chako.Changia mada acha vitosh
Acha vitisho mkuuu sharo, changia mada, KWANZA KARIBU TULE DONA NA PONO NA SAFARI
Wemsengeee umejuaje nina friza 🤣🤣🤣Niwekee safari 8 zinanitosha, hilo dona nakuachia wewe na kitambi chako.
Ile siku uliyokuja kulewa bar hadi ukataka kuweka boxer kichwani si uliniambia mwenyewe, mimi ndo yule jamaa nilikuwa nimekaa siti ya pembeni.Wemsengeee umejuaje nina friza
😂😂.Daaah🙌🙌🙌🙌🙌🙌
UTACHELEWA SANA. UNA UGONJWA WA AKILI, ZINDUKA.Wale kina rc, kkkt, anglican hawajaokoka.. Mungu hayuko pamoja nao, amewaacha kitambo sana, wanajiendea kwa taratibu zao huku wakijifanya ni watauwa wa Bwana kumbe ni mbwa mwitu katikati ya kundi la kondoo. Ndio maana wateule wakaambiwa watoke kwao wajitenge nao, nuru na giza havikai pamoja. Kula chuma hicho!
ngoja tukuitie waislam kina malaria2 na wenzake waje upambane nao, sijui kama utawashinda! Umeona walokole ni mteremko ee?Akili zenu zinawatuma kila mkristo ambae sio mlokole ni mpagani, mtasubiri sana
Akili hamnaKwa nini povu likutoke unaposhuhudiwa uende kanisani? Injili inahubiriwa kwa kila kiumbe, aaminiye na kubatizwa ataokoka
Walokole mna utindio, japo mimi ni mkristo pia.ngoja tukuitie waislam kina malaria2 na wenzake waje upambane nao, sijui kama utawashinda! Umeona walokole ni mteremko ee?
Hao vichaa tafuta namna ya kuwasaidia.Nina dada na wajua wawili huku yombo,huwezi amini wanakwenda kanisani kawe,akifika huko wanapukutishwa kila kitu