Kama wewe ni Mlokole upo hapa jukwaani, chukua ujumbe huu peleka kanisani kwenu

Hata humu jf Kuna vilokole uchwara vingi sana
 
Sadaka ni kipato kizuri cha Manabii siku hizi. Mwamposa kwa wiki anaingiza zaidi ya Milioni 100.
 

Your browser is not able to display this video.
 
Nami hii ishu ilinitokea, aisee wanataka wa control hadi mambo ya familia yako, nikaona mmh huu nataka kutawaliwa aisee.
 
BWANA YESU ASIFIWE Ndg!!
 
Yesu ndiye njia, kweli, na uzima. na hakuna njia nyingine ya kunfikia Bwana. Wanakuja kukuletea maneno ya uzima ili angalau uamini uweze kuokolea na jehanam ijayo ambayo waovu wote watatupwa huko na kutakuwepo kilio na kusaga meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…