Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania.

Kwa mfano SIMBA walifanya vizuri kimataifa msimu uliopita na kutuwakilisha vyema hadi hatua ya robo fainali na hatimaye kushika nafasi ya kwanza kwa timu za East afrika.

Nirudi kwenye mada husika kwa mfano wewe mdau wa soka umepata nafasi ya kumshauri kochawa simba PABLO FRANCO from madrid 🙂D😀😀) ungempa ushauri gani

Nikianza mimi ningemshauri kusaini mkataba baada ya December 11 (baada ya mechi ya SIMBA NA YANGA)

wewe je?
 
Asikubali kubebeshwa paka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamshauri kwa kipi una nini Cha kumshauri acha umbea mtoto wakiume kashauri Duma uko
 
Kocha wa Simba hawez fukuzwa kisa kafungwa na yanga fala wewe tushapita zama hizo sisi ila anaweza fukuzwa asipofanikiwa kuingia makundi caf au afanye vibaya makundi
 
Ningemshauri tu asimwambie mkewe na nduguze kwamba kapata kazi...alichopata ni kibarua tu,si ajabu tarehe 12 akarudi nyumbani baada ya kumaliza kibarua chake.
hahaaa ngoja kwanza ajue utofaut wa ligue
 
Aachane na makolo arud alipotoka akalee familia yakee. Umri umeendaa❎❎

Back
Top Bottom