Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania.
Kwa mfano SIMBA walifanya vizuri kimataifa msimu uliopita na kutuwakilisha vyema hadi hatua ya robo fainali na hatimaye kushika nafasi ya kwanza kwa timu za East afrika.
Nirudi kwenye mada husika kwa mfano wewe mdau wa soka umepata nafasi ya kumshauri kochawa simba PABLO FRANCO from madrid 🙂D😀😀) ungempa ushauri gani
Nikianza mimi ningemshauri kusaini mkataba baada ya December 11 (baada ya mechi ya SIMBA NA YANGA)
wewe je?