League yetu ni ngumu Sana ,timu nyingine hazina mfumo ,wanajua kukamia ,kutumia nguvu na ujaaji mwingi ...
Kiufupi hakuna ufundi ..,Kama atakuja na style za Spain soon anaenda kufeli ...
Tik Tak style Kama ya pep ,huku bongo haiwezi Kwan,wachezaji wengi hata kutuliza mpira na kutulia hawewezi ....
Gang-gangpress Kama ya klop huku hawaiwezi ,ukiachilia viawanja ,wachezaji wetu hawawezi kabisa ,.......
Akija na Mambo ya mifumo atafumuliwa mapema kabisa .....
Mimi kwa kweli sijui la kumsaidia zaidi ya kusema huyu kocha Hana maisha marefu hapa bongo ......