Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

Ningemshauri tu asimwambie mkewe na nduguze kwamba kapata kazi...alichopata ni kibarua tu,si ajabu tarehe 12 akarudi nyumbani baada ya kumaliza kibarua chake.
Hata akiondoka wewe utafaidika na nini,Punguza wivu wa kuwa na roho mbaya
 
Kocha wa Simba hawez fukuzwa kisa kafungwa na yanga fala wewe tushapita zama hizo sisi ila anaweza fukuzwa asipofanikiwa kuingia makundi caf au afanye vibaya makundi
sawa mkuu..............ngoja tusubir kama mtafika
 
League yetu ni ngumu Sana ,timu nyingine hazina mfumo ,wanajua kukamia ,kutumia nguvu na ujaaji mwingi ...

Kiufupi hakuna ufundi ..,Kama atakuja na style za Spain soon anaenda kufeli ...

Tik Tak style Kama ya pep ,huku bongo haiwezi Kwan,wachezaji wengi hata kutuliza mpira na kutulia hawewezi ....

Gang-gangpress Kama ya klop huku hawaiwezi ,ukiachilia viawanja ,wachezaji wetu hawawezi kabisa ,.......

Akija na Mambo ya mifumo atafumuliwa mapema kabisa .....

Mimi kwa kweli sijui la kumsaidia zaidi ya kusema huyu kocha Hana maisha marefu hapa bongo ......
 
Akimbie kabla hajakutana na bakora za makolo!
 
mkuu kumbuka amekuja kuchukua ubingwa wa Africa
 
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania.

Kwa mfano SIMBA walifanya vizuri kimataifa msimu uliopita na kutuwakilisha vyema hadi hatua ya robo fainali na hatimaye kushika nafasi ya kwanza kwa timu za East afrika.

Nirudi kwenye mada husika kwa mfano wewe mdau wa soka umepata nafasi ya kumshauri kochawa simba PABLO FRANCO from madrid 🙂D😀😀) ungempa ushauri gani

Nikianza mimi ningemshauri kusaini mkataba baada ya December 11 (baada ya mechi ya SIMBA NA YANGA)

wewe je?
Hahitaji ushauri toka kwa misukule ya GSM

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Namshauri biashara yake ya kuuza matikiti uko ulaya hasiiache maana timu aliyojiunga nayo ina mashabiki mambumbumbu wenye makasiriko
 
Back
Top Bottom