Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.
Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.