Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.

Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
Kuna watu wanazo na hawajawahi kuzitumia mpka mda umeisha
 
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.

Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
Ahaa, kumbe kuwa na passport ni utajiri! Kumbe na mimi ni tajiri, sikujua. Ngoja waje wale Wakinga wenye magorofa kama uyoga pale Kariakoo tuone kama wana passport.
 
Mkuu somo lako halieleweki.
Kuna mwamba yupo Kisaki huko Morogoro amevuna mpunga magunia 1,500, hana passport ya kusafiria na hata NIDA hana. Kitambulisho pekee kinachomtambua ni cha kupigia kura.
 
😂😂😂😂😂

Jamii zetu zimejawa na ujinga yaani wewe badala uwe na fedha za kutosha kwenye account unajiongezea mzigo wa makaratasi.

Sasa mkuu hivi unadhani kua na passport ndio itakua kigezo cha kusafiri kama ukiwa hapa ndani.
 
Passport ndio kitu gani tafadhali maana huku maduarani tunapochimba Pesa kama majivu bado haijatufikia
 
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.

Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
Mwenyekiti wa Jumuiya Masikini wenzangu wasio na pasi ya kusafiria nchini, amenituma Katibu wake nibonge nawe ya kuwa anaomba utusaidie kutupa hamasa ya kuwa matajiri kwa kutuambia unakamata namba ngapi kwenye orodha ya Matajiri Africa?
 
Back
Top Bottom