The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kuna watu wanazo na hawajawahi kuzitumia mpka mda umeishaNimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.
Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
ππππππ just incaseYes n easy Ukiwa na vitu wanavyotaka
Wengine hatujui tutaenda huko mbele lini ila tunataka tukae na passport just incase mambo yakitiki tuondoke chap na sio kuanza kusubiri mwezi nzima kufanya process + mibarua yao ya ukaribisho
Inasikitisha sana mkuu πππππππ just incase
Ahaa, kumbe kuwa na passport ni utajiri! Kumbe na mimi ni tajiri, sikujua. Ngoja waje wale Wakinga wenye magorofa kama uyoga pale Kariakoo tuone kama wana passport.Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.
Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.
Mwenyekiti wa Jumuiya Masikini wenzangu wasio na pasi ya kusafiria nchini, amenituma Katibu wake nibonge nawe ya kuwa anaomba utusaidie kutupa hamasa ya kuwa matajiri kwa kutuambia unakamata namba ngapi kwenye orodha ya Matajiri Africa?Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta mbalimbali za maisha.
Ewe kijana jitahidi sana hii document uwe nayo itakusaidia sana kwenye mambo mengi huko duniani, ni bora umaskini wa hela kuliko akili yako kuwa duni, Asante.