Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Narudi hii:
1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua

KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwasababu wengi waliopitia kwenye huo ujinga hakika WAMEMKUMBATIA SHETANA . Huwezi kuwa na Chale mwilini halafu ukawa na Roho ya Imani njema.

Pia vijana ambao hamjaoa ninawashauri ukikutana na binti mwenye Chale mwilini MKIMBIE
Kanda ya ziwa unaweza kukutana na bikra ila huwezi kukutana na binti asiye na chale mwilini
 
Siwezi kuacha Imani ya mababu zangu kamwe kama naenda Kwa mababu na huko nakutana na viongozi wa dini kuanzia masheh mapadri nk Mimi ni Nani biashala zangu zote kuna nimeweka kitu kinaitwa mgogo wasukuma wangi wanaijua hii hivyo hata uniambie nini siwezi Acha Amini mababu
 
Madame huui mtu mkuu wala haumdhuru mtu tabu iko wapi!??
Haramu ni kudhulumu au kumwaga damu ya mtu.
 
Mungu wetu alikua na nguvu sana ndio maana hawa kuku wakuitwa wakoloni wakatupotosha... mvua zilivyokua hazinyeshi mzee wa mila akipanda mlimani akishuka anashuka nayo ila siku hizi sasa. Kwa hapa walituweza aisee.
Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuajeπŸ€”
 
Mtuache kila mtu na life yake..
Chale tunachanja sana tuuuu...
Usitupangie maisha..

Kwa mganga tutaenda sana tuu.. ukiona ujamjua mganga jua ujapitia joto la walimwengu wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Alafu mganga mbali pote huko wengine tunakaa nao hapa alafu na life inakwenda tuu...

Kuhusu shetani tunakemea
Pepo troookkaaaaaaa na linatoka
 
Back
Top Bottom