Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Mtuache kila mtu na life yake..
Chale tunachanja sana tuuuu...
Usitupangie maisha..

Kwa mganga tutaenda sana tuu.. ukiona ujamjua mganga jua ujapitia joto la walimwengu wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Alafu mganga mbali pote huko wengine tunakaa nao hapa alafu na life inakwenda tuu...

Kuhusu shetani tunakemea
Pepo troookkaaaaaaa na linatoka
Kumbe jamaa wizard πŸ™„, kujikuta harry pooorter wa kibongo

Hv mechanism gani inatumika ungo kupaa mzee??
 
Kwenye ushirikina angalia uhusika wa mtu binafsi.

Kama mtu kachanjwa bila kuamua mfano mtoto. Au hata mkubwa kabla hajapata maarifa mengine haina haja ya kumuhukumu kwa vile alivyokuwa. Angalia imani yake hivi sasa.

Hata hiyo ya kufungwa utotoni sasa ina umuhimu gani sasa hivi? Isipokuwa kama sasa hivi anataka kuwafunga watoto wenu lakini vinginevyo sio issue
 
Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuajeπŸ€”
Wangekuwa siriazi sana.

Jomo Kenyatta katika kitabu chake cha Facing Mount Kenya alisema hiki kitu.

Ndiyo maana hata leo makabila yanayohusisha umizimu kwenye makubaliano na viapo vyao, watu wake wanazingatia sana na matokeo yake wanaaminiana na kuinuka kwa pamoja.
 
Kabisa mkuu, siku hizi sioni nyuzi zako mpya
 
Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuajeπŸ€”
Dini ni kichaka cha kujificha kwa walio wengi.
 
Uchawi kila mtu anafanya kwa kujua au kwa kutokujua.

-kumuonea wivu mwenzio ni uchawi tosha.
-Chuki ni uchawi.
Na mengine mengi tu tunayofanya kila siku.

Kuona wivu sio uchawi. Kuroga ni uchawi maana unahusisha nguvu za giva ili kuharibu ya wengine
 
HAKUNA WATU WA OVYO KAMA WASHIRIKA NA WACHAWI

NI WAPINGA MAENDELEO HASA
 
Kumbe jamaa wizard πŸ™„, kujikuta harry pooorter wa kibongo

Hv mechanism gani inatumika ungo kupaa mzee??
Sizani kama utaelewa ila ni quantum physics...
Ambako tunafanya kitu kinaitwa ant gravity process.. hapa tuna fanya hivi
9.8ms-Β² Γ— 1/4 costant...

Baada ya hii hatua ya ant gravity tunakuja kufanya kitu kinaitwa proper escape velocity....

Hii tunachukua mass yako tuna zidisha na Humidity ya siku husika kisha inakua ka hv
....... [Mm Γ— Hc/98%]/Potential energy ukiwa at costant speed Ambayo itakua ni mara 1/6 negative ya kinetic energy ukiwa juu ...
Mgh= -1/6(1/2MVΒ²)...

...... Mpaka hapo tunakua tayari mtu anaweza kupaa lakini kwa angle 90'

Ili sasa aweze ku change ange hapa tuna tafuta time of flight na parabolic path kama itakuwa trajector basi safari itakua safi ..

Shida inakuja kama haitokua trajector.....
Ukiskia mchawi kaanguka jua kuna kitu kinaitwa magnetic field lines ambayo mara nyingi inakinzana na viscosity ya Humidity ambayo tulipima pale juu....Ni mambo mengi mkuu fanya kunitafuta ukipata mda....
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiranga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Lichawi ila limebukua kunizidi, mambo ya kipenyo na kipeuo tena πŸ™Œ

Sawa dogo lake Arsis
 
NAOMBA MLIOKWAZIKA KWA UJUMBE HUU. KAMA UMECHANJWA WEWE NA KUVISHWA HIRIZI BASI USIWAFANYIE WANAO HIVYO
 
Back
Top Bottom