Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Kwanza unajua maana ya uchawi
Maana yake nini? Kutafuta nguvu ambazo wala huna kwa njia za mkato. Mfano yule mganga aliyekuwa anaua na kuzika watu ili awe na nguvu mtaani kwao.
Ameishia kukamatwa
 
Narudi hii:

1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua

KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwa sababu wengi waliopitia kwenye huo ujinga hakika WAMEMKUMBATIA SHETANA. Huwezi kuwa na Chale mwilini halafu ukawa na Roho ya Imani njema.

Pia vijana ambao hamjaoa ninawashauri ukikutana na binti mwenye chale mwilini MKIMBIE.
✍️ Dr am 4 real PhD UCHAWI UPO NA KUSEMA HAUPO NI KUJIDANGANYA NI SAWA SAWA NA KUJITEKENYA MWENYEWE NA KUCHEKA MWENYEWE.

UCHAWI UPO WACHAWI WAPO NA USHIRIKINA MAPEPO MAJINI VIPO KUSEMA HAVIPO NI KUJIDANGANYA

NENDA KASOME KITABU CHA SIRA 6:22
 
Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo, beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Lete hoja zako hapa mkuu, beliefs zipi?
 
Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo, beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Wasabato ni nani aliyewaroga?
 
Narudia hii:

1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua

KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwa sababu wengi waliopitia kwenye huo ujinga hakika WAMEMKUMBATIA SHETANI. Huwezi kuwa na Chale mwilini halafu ukawa na Roho ya Imani njema.

Pia vijana ambao hamjaoa ninawashauri ukikutana na binti mwenye chale mwilini MKIMBIE.
.....malizia kwa kusema ,HUTOBOI MAISHA!

#Never give wisdom to unworthy as it is unjust to the knowledgeables [emoji7]
 
Kwanini mtu mwenye chale akimbiwe na sio kuombewa akatoka kwenye hilo giza?
Naona umemalizia vibaya
Chale ni Haramu eee?!!

Ila....

Kuwekewa "IV Cannulae" za DRIP si haramu...

Kutolewa DAMU si haramu....

Kuwekewa damu "blood transfusion" si aina ya chale ee ?!!

Kufanyiwa "phlebotomy" si chale ee?!!

Kuwekewa vipandikizi vya uzazi wa mpango IMPLANON (hirizi za ndani ya mikono ) si chale wa HIRIZI ?!!

Kwa akili hizi....mmmh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom