Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ambae angefanya ujinga... wote wangenyooka maana ukienda kinyume ni kifo shwaaaa😆😆😆😆Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuaje🤔
Hakika mkuu, mambo ya kufuata imani za watawala wa zamani kwenye bara letu na kuziita ni dini takatifu huo ni utumwa kifikra na kiimani, wacha tuishi kivyetu piga tambiko mkuu, hayo ndiyo mambo yetu waafrika.Wafuata mila na desturi za mataifa sasa... pure African hatuachi kufanya matambiko it's our culture as long as hatuui wala kuvunja sheria za kinchi then we are good.
Waache waendelee kubaki utumwani ila mimi sitawahi acha mila na desturi zilizoachwa na mababu zetu.Hakika mkuu, mambo ya kufuata imani za watawala wa zamani kwenye bara letu na kuziita ni dini takatifu huo ni utumwa kifikra na kiimani, wacha tuishi kivyetu piga tambiko mkuu, hayo ndiyo mambo yetu waafrika.
Kuombewa na kutoka huko ni utashi wa mtu mwenyewe huwezi mlazimisha, watumishi wa Mungu kila siku wanawaalika watu kwenye ibada za kufunguliwa.Kwanini mtu mwenye chale akimbiwe na sio kuombewa akatoka kwenye hilo giza?
Naona umemalizia vibaya
Imani za mababu zetu unaita uchawi? tuombe radhi tafadhaliNarudi hii:
1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua
KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwasababu wengi waliopitia kwenye huo ujinga hakika WAMEMKUMBATIA SHETANA . Huwezi kuwa na Chale mwilini halafu ukawa na Roho ya Imani njema.
Pia vijana ambao hamjaoa ninawashauri ukikutana na binti mwenye Chale mwilini MKIMBIE
Nonsense!!Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo. .. beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
yaani ushasema belief halafu unataka iwe logic, upo sawa kweli wewe!?Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo. .. beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Nipo hapa sijui mlango wa Kwa mgangaHakuna kitu kitamgusa asiende kwa mganga
Mimi nataka niingie huko.Nipe mifano ya hizo imani potofu nipige rivazi.Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo. .. beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Kwa mfano 1+1+1=1 Mungu baba +mungu son + mungu roho mtakatifu= one how!!!Mimi nataka niingie huko.Nipe mifano ya hizo imani potofu nipige rivazi.
Ugumu wake ni nini hapo?Kwa mfano 1+1+1=1 Mungu baba +mungu son + mungu roho mtakatifu= one how!!!
Me too....na sidhani Kama kina umuhimu wa kwenda kwa waganga cute....kwenye kwa waganga ni sawa na kupokea uchawi☹️N
Nipo hapa sijui mlango wa Kwa mganga
Mungu ni familia mkuu?Ugumu wake ni nini hapo?
NB:Baba,mama na mtoto=familia moja.