Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Kumbe jamaa wizard π, kujikuta harry pooorter wa kibongoMtuache kila mtu na life yake..
Chale tunachanja sana tuuuu...
Usitupangie maisha..
Kwa mganga tutaenda sana tuu.. ukiona ujamjua mganga jua ujapitia joto la walimwengu wewe πππππππππ
Alafu mganga mbali pote huko wengine tunakaa nao hapa alafu na life inakwenda tuu...
Kuhusu shetani tunakemea
Pepo troookkaaaaaaa na linatoka
Chale
Wangekuwa siriazi sana.Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuajeπ€
Kabisa mkuu, siku hizi sioni nyuzi zako mpyaWangekuwa siriazi sana.
Jomo Kenyatta katika kitabu chake cha Facing Mount Kenya alisema hiki kitu.
Ndiyo maana hata leo makabila yanayohusisha umizimu kwenye makubaliano na viapo vyao, watu wake wanazingatia sana na matokeo yake wanaaminiana na kuinuka kwa pamoja.
Mambo mengi, lakini mara moja moja natupiaKabisa mkuu, siku hizi sioni nyuzi zako mpya
CHADEMA =Viongozi,wanachama,ofisi + nyaraka za kiutekelezaji.Mungu ni familia mkuu?
Dini ni kichaka cha kujificha kwa walio wengi.Kuna kitu huwa nakiwaza sana unakuta viongozi wanaapa kwa biblia na vitabu vya dini , ila wanaiba na kukiuka kiapo, ebu fikiria wangekua wanaapa viapo vya asili kama kulambishwa asili , au kiapo cha damu ingekuajeπ€
Kabisa dini ni chaka la ujambaziDini ni kichaka cha kujificha kwa walio wengi.
Uchawi kila mtu anafanya kwa kujua au kwa kutokujua.
-kumuonea wivu mwenzio ni uchawi tosha.
-Chuki ni uchawi.
Na mengine mengi tu tunayofanya kila siku.
Belief ni lazima isiwe logical, dream ndo illogical ila belief must hold some sense, nje ya hapo ndo ushirikina mkuu.yaani ushasema belief halafu unataka iwe logic, upo sawa kweli wewe!?
Uchawi kila mtu anafanya kwa kujua au kwa kutokujua.
-kumuonea wivu mwenzio ni uchawi tosha.
-Chuki ni uchawi.
Na mengine mengi tu tunayofanya kila siku.
Sizani kama utaelewa ila ni quantum physics...Kumbe jamaa wizard π, kujikuta harry pooorter wa kibongo
Hv mechanism gani inatumika ungo kupaa mzee??
ππ Lichawi ila limebukua kunizidi, mambo ya kipenyo na kipeuo tena πSizani kama utaelewa ila ni quantum physics...
Ambako tunafanya kitu kinaitwa ant gravity process.. hapa tuna fanya hivi
9.8ms-Β² Γ 1/4 costant...
Baada ya hii hatua ya ant gravity tunakuja kufanya kitu kinaitwa proper escape velocity....
Hii tunachukua mass yako tuna zidisha na Humidity ya siku husika kisha inakua ka hv
....... [Mm Γ Hc/98%]/Potential energy ukiwa at costant speed Ambayo itakua ni mara 1/6 negative ya kinetic energy ukiwa juu ...
Mgh= -1/6(1/2MVΒ²)...
...... Mpaka hapo tunakua tayari mtu anaweza kupaa lakini kwa angle 90'
Ili sasa aweze ku change ange hapa tuna tafuta time of flight na parabolic path kama itakuwa trajector basi safari itakua safi ..
Shida inakuja kama haitokua trajector.....
Ukiskia mchawi kaanguka jua kuna kitu kinaitwa magnetic field lines ambayo mara nyingi inakinzana na viscosity ya Humidity ambayo tulipima pale juu....Ni mambo mengi mkuu fanya kunitafuta ukipata mda....
ππππππππ
Kiranga
Sasa hivi tunafanya kisomi zaidi..ππ Lichawi ila limebukua kunizidi, mambo ya kipenyo na kipeuo tena π
Sawa dogo lake Arsis
Ujinga ni mtajiWASHIRIKINA MUSIJITETEA
Kwanza unajua maana ya uchawiKuona wivu sio uchawi. Kuroga ni uchawi maana unahusisha nguvu za giva ili kuharibu ya wengine
HaaahaaaWASHIRIKINA MUSIJITETEA