Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

Kwanza unajua maana ya uchawi
Maana yake nini? Kutafuta nguvu ambazo wala huna kwa njia za mkato. Mfano yule mganga aliyekuwa anaua na kuzika watu ili awe na nguvu mtaani kwao.
Ameishia kukamatwa
 
✍️ Dr am 4 real PhD UCHAWI UPO NA KUSEMA HAUPO NI KUJIDANGANYA NI SAWA SAWA NA KUJITEKENYA MWENYEWE NA KUCHEKA MWENYEWE.

UCHAWI UPO WACHAWI WAPO NA USHIRIKINA MAPEPO MAJINI VIPO KUSEMA HAVIPO NI KUJIDANGANYA

NENDA KASOME KITABU CHA SIRA 6:22
 
Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo, beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Lete hoja zako hapa mkuu, beliefs zipi?
 
Hamna mwenye kufuata Dini ya RC asie mshirikina kimawazo na kivitendo, beliefs zao nyingi ni Dogma hazina logic/mantiki au reasoning.
Wasabato ni nani aliyewaroga?
 
.....malizia kwa kusema ,HUTOBOI MAISHA!

#Never give wisdom to unworthy as it is unjust to the knowledgeables [emoji7]
 
Kwanini mtu mwenye chale akimbiwe na sio kuombewa akatoka kwenye hilo giza?
Naona umemalizia vibaya
Chale ni Haramu eee?!!

Ila....

Kuwekewa "IV Cannulae" za DRIP si haramu...

Kutolewa DAMU si haramu....

Kuwekewa damu "blood transfusion" si aina ya chale ee ?!!

Kufanyiwa "phlebotomy" si chale ee?!!

Kuwekewa vipandikizi vya uzazi wa mpango IMPLANON (hirizi za ndani ya mikono ) si chale wa HIRIZI ?!!

Kwa akili hizi....mmmh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787]
 
Mganga wangu fundi bana kama mganga wa jenista mwaka huu nampa carina.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…