You can do that through imagination..Nostalgia is a good and vivid exampleKwa vipi? Toa mfano ambao umekuwa verified beyond any level of doubt, elezea ni jinsi gani hili linawezekana.
Einstein's Relativity forbids any massive object to travelback in time, as any infinitesimally small massive object will need infinite energy to attain the greater than light speed required to go back in time.
So, can you show me how this is achieved without consuming the entire universe in the process?
Just a concept .Not in details
Nasubiri jibu lako brotherSema kweli tu... MAISHA ndio haya haya... Usiogope
Ukweli ni kwamba "acha kupotosha umma wa JF"Ukweli ni UPI mzee?
My question is not about imagination, it is about physicality.You can do that through imagination..Nostalgia is a good and vivid example
Je mwili ukifa?Body and mind are two sides of the same coin.They are inseparable .So if my mind is there .my body is also there.
That's some bullshit mumbo jumbo.Body and mind are two sides of the same coin.They are inseparable .So if my mind is there .my body is also there.
Mtu yeyote anayesema watu tuna free will, ana contradict perfect knowledge ya Mungu.Je mwili ukifa?
Power of Imagination was a gift given to man so that among many other benefits he can be able to own and posses all the things that he can own or posses them physically.That's some bullshit mumbo jumbo.
Njoo hapa nilipo unipige kibao basi kwa kutumia mawazo yako mpaka mwili wangu upate kupigwa kibao nitajua you are serious.
Go on top of a tall building, 10 plus storey building, and imagine you can fly like a bird,then jump.Power of Imagination was a gift given to man so that among many other benefits he can be able to own and posses all the things that he can own or posses them physically.Personally I cannot abuse this gift by doing what u have asked me to do for this golden gift was intended for positive things only ...What u have asked me to do can be done through black magic or witchcraft
Ebanae mjomba unajua unachanganya sana mambo.The way unavyo jicontradict ur self in the same sentence it is as if ur intending to demonstrate ur antithethis skills.Mtu yeyote anayesema watu tuna free will, ana contradict perfect knowledge ya Mungu.
There is no trade off between human freewill and God's perfect knowledge.
You can't have both. You can have one or the other.
Ukisema watu wana uwezo wa kuchagua mema au mabaya, hapo hapo unakuwa umesema Mungu hana uwezo wote wa kuwachagulia watu cha kufanya na hapo hapo umesema Mungu hana ujuzi wote wa kujua watu watafanya nini.
Kwa hivyo, ukitakakusema watu wana freewill, maana yake Mungu hana ujuzi wote na uwezo wote.
Na ukisema Munguana ujuziwote na uwezo wote, watu hawana freewill.
Huwezi kuwa na Mungu anayejua yote na kuweza yote, halafu hapohapowatu wana freewill.
Ni contradiction.
God is not a dictator, yes.Ebanae mjomba unajua unachanganya sana mambo.The way unavyo jicontradict ur self in the same sentence it is as if ur intending to give ur message through antithethis ..God is not a dictator
Go on top of a tall building, 10 plus storey building, and imagine you can fly like a bird,then jump.
Record the whole thing with video evidence and a large group of eyewitnesses.
Then let's talk after that.
Which question?I wanted to prove it to u but u escaped my question
Sijakujibu au wewe hujui kusoma kwa ufahamu tu?Uliniambia nithibitishe kama Mungu yupo.Nikakuuliza " kuthibitisha ni nini ? Na Mungu ni nini?