Hivi Mungu unae muamini anafungwa na herufi kweli? Au unaonyesha jinsi gani haumpendi Mungu wako?Sina mashaka na tafiti yako, imekaa vzr kwa kuwa watu wa imani umemtukuza Mungu wetu aliye Mkuu.
Lakini napata ukakasi pale unapo muandika mungu wa kabili ktk mazingira sawa na Mungu wa kweli.
Usitumie herufi kubwa kwa kumtambulisha mungu wa vichochoroni. IPO hivyo na itadumu hivyo hata Milele.
Nakusihi ukarudie kufanya utafiti wako, huna unachokijua sio kupiga blaablaah...Una uthibitisho wa unacho kisema?
Jifunze Mana ya utafiti. Uwezi kutumia sample ya Mtu mmoja afu useme umefanya utafiti. Ili kukubaliana na hoja za utafiti kwanza unaangalia jinsi utafiti ulivyofanywa then unakuja kwenye matokeo ya utafiti.Hoja zako ni zipi hasa?
Mzee hebu nilogee wanaonidai wasikumbuke madeni yaoAlchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia..Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
Hapo ndipo palipojaa Hekima. Mungu vs miunguHivi Mungu unae muamini anafungwa na herufi kweli? Au unaonyesha jinsi gani haumpendi Mungu wako?
SawaJifunze Mana ya utafiti. Uwezi kutumia sample ya Mtu mmoja afu useme umefanya utafiti. Ili kukubaliana na hoja za utafiti kwanza unaangalia jinsi utafiti ulivyofanywa then unakuja kwenye matokeo ya utafiti. Ko hoja yangu kubwa nimeangalia jinsi utafiti ulivyofanywa kwa kumuuliza mtu mmoja hapo tu inanifanya nisiamini kama ulifanya utafiti.
Tatizo akili zako fupi, kasome post ya mwanzo kwa utulivu ndipo ukarudie kufanya utafiti wako kila kitu kinaeleweka.Unacho kijua wewe ni kipi?
Duuh,mkuu[emoji33] [emoji33]mkuu, nimetoa hiyo kama changamto tu.
Rudi kutafakari na kuufuatilia, utajua hizo bibilia na misaafu imewekwa na hao wafuasi wa Kaini na Henoko mwana wa kaini kwa matiki zipi. Haziko hapo kumuabudu Mungu wa kweli zaidi ya Lucifer wao wanamwamini kuwa alionewa na alifanyiwa njama na Yesu(Adonai) kutupwa huku duniani na hana kosa kabisa.(Unbiblical opinions)
Asubuhi njema.
Ushauri, Usiamini kila anayeshika kitabu kitakatifu ukadhani yuko upande wa Mungu anayeelezewa humo.
mkuu usiwe manipulated san na ujuaji wako mwingi sana hao freemason unaowaongelea walishaonyeshwa mda mrefu kuwepo kwao kwenye vitabu vya dini na hizi ndio alama zaoLet me tell u onething .U have a very low and limited understanding about the true God.What is alama za nyakati?God is God and Alama za nyakati is alama za nyakati.We are not talking about alama za nyakati here
Nadhani wewe ndio hujaelewa post yangu. Unge ielewa post yangu wala usingesema ninataka kuwaunganisha watu na freemasons. Point ya tatu nimeeleza wazi kabisa kwamba ile dhana ya kwamba ukitaka utajiri jiunge Freemason utoe kafara uwe tajiri ni dhana potofu ambayo inaenezwa na watu wasio jua chochote kuhusu freemasonry.Tatizo akili zako fupi, kasome post ya mwanzo kwa utulivu ndipo ukarudie kufanya utafiti wako kila kitu kinaeleweka...
Vinginevyo labla useme upo hapa kuhadaa watu kwa utapeli wa kuwaunganisha na freemason ili ujipatie kipato.
Unazungumzia vitabu vya dini zipi? Halafu una uhakika freemasonry imeanzia ulaya? Like serious?What is ur reference?mkuu usiwe manipulated san na ujuaji wako mwingi sana hao freemason unaowaongelea walishaonyeshwa mda mrefu kuwepo kwao kwenye vitabu vya dini na hizi ndio alama zao
technical questions freemason eventually ilianza kipindi cha enlightement ulaya je wajua ni kwanini? i hope utaonaanza kuona how low and unlimited understand yang vizur naw