kama hadi vitabu vya dini pia uvijui go deeper usije hapa kutudanganya na wewe umetumia reference ya na huyo babu yako? ndio utuletee hapa na kuona sahihi sioUnazungumzia vitabu vya dini zipi? Halafu una uhakika freemasonry imeanzia ulaya? Like serious?What is ur reference?
Instead of giving the answers ur talking about the question.Swali mbona rahisi sana mkuu? Nimeuliza vitabu vipi hivyo?Simple like that. Au una uhakika na mafundisho ya vitabu vya dini unayo iamini?kama hadi vitabu vya dini pia uvijui go deeper usije hapa kutudanganya na wewe umetumia reference ya nan huy babu yako? ndio utuletee hapa na kuona sahihi sio
kuna vitu viwil "origin of freemason" na "emerge of freemasonic" kam ujui tofautisha iv usiendelee jibu post zang bado una maarifa ya kutosha go dig deep ndio uje hapa
heheeeee uakika una wewe..unaekuja kujifunza humu acha uvivu kasome enlightenment n nini kwanza, actually naamini vitabu vyote vya din quran na bibleInstead of giving the answers ur talking about the question.Swali mbona rahisi sana mkuu? Nimeuliza vitabu vipi hivyo?Simple like that. Au una uhakika na mafundisho ya vitabu vya dini unayo iamini?
wewe mbona kichwa chko ni kigumu kuelewa nimekujibu hapo juuWewe una amini katika kipi kati ya Quran na Bible?
Kwahiyo alichokuambia Kiranga umeshindwa?Alchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia..Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
kwanini unasema mungu hayupo?Wewe unaweza kuwa Freemason.
Lakini kuna Freemason wa Freemason.
Mungu hayupo.
Kama unabisha thibitisha yupo.
SaanaUmeona eeh?
ili iweje???Tuambie unacho kijua basi
Freemasonry is as quaint as alchemy.Alchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia..Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye ameumba ulimwengu huu uliojaa mabaya, hayupo, ni dhana tu, tena dhana potofu inayoweza kuoeshwa kimantiki kwamba inajipinga yenyewe. Ina contradiction.kwanini unasema mungu hayupo?