Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Once a great scientist said if you can't read the mind of God, you can't do something special. However, to read the mind of God you must take yourself there and think from there which you can't if your speed of thinking is less than that of light.
 
Umekuwa unarudia rudia maneno. Mfano kama nikisema ivi "dhana ya Mungu yupo ni kweli kwa sababu kuna mbingu na ardhi, mbingu na ardhi zinathibitisja uwepo wa Mungu, kwa sababu kama hakuna mungu basi hakuna mbingu, dhana hii inathibitishwa kuwa kweli kuwa mungu yupo" ni kama umezunguka tu lakini bado hujafafanua. Kwenye Polygon unaweza kupata pembe tatu ukichora mistari yako ndani ya polygon.kwenye hio pembe sita unaweza ukaweka mistari na ukapata pembe tatu kwenye sita, kwa sababu kwenye idadi ya sita, 3 imo ndani.

Unatumia hoja dhaifu ya kulaumu kwanini Mungu anaachia maovu na maasi yanatokea duniani. Wakati yote haya ni matendo ya binaadamu, na Mungu tayari ameshatangaza malipo yake nini kwa waovu na wema. Kwaio binaadam ana freewill and not controlled, binaadamj anacontrol his own destiny, ameshapambanuliwa lipi baya na lipi zuri.

Lakini wakati wewe unatumia hoja ya maovu ya dunia na kusema ndio maana Mungu hayupo, basi mazuri yanayotokea duniani ni ushahidi wa kuwa Mungu yupo, kwa sababu yanaendana na sifa zake.
 
Fact..
 
ha ha ha... kuna vitu sisi wengine huishia kucheka tu. lakini ndo raha ya JF kila mtu anaweza post anachofeel anakifahamu ili mwishowe aonekane anafaham. siku zote naamini "ni heri kunyamaza kuonekana hujui kuliko kuzungumza uka thibitisha hujui "
 
Jibu swali toa wenge zako ww mtu wa mapangoni.
 
Ukilanga wako wa kuuliza swali kwa swali hauna maana,mi nawashauli huyu ajibiwe jibu kwa swali ili wote kukosekane muafaka si analeta ukatuni mjibuni jibu kwa swali nae azidi kuleta swali kwa swali ili tukeshe full stop.
 
Mr Pharao, hongera sana

Sikupata kujua kama Kiranga ni mwepesi namna hii, mweupe kweli kweli

Amemeza tumaneno tuwili sijui pembe tatu yenye pembe sita, sijui square root ya mbili, ameishia hapo hapo

Haamin uwepo wa Mungu ila kwenye majibu yake ana quote maneno ya Yesu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna sehem kule kaniacha hio kweli, kwamba haamini Mungu kama yupo ila anajua shetan yupo, hehehehe... katikat ya majibu yake akasema "Shetani alikuja baadae"

Kama alivyosema mtoa mada (Mwenye post) Kiranga amemezeshwa maneno, ama maswali mazito anayopigwa huko nje anashindwa yajibu anayaleta humu anayafanya kama yake...
 
Kama uchunguzi wako umechukua muda mrefu na kuja na hoja finyu namna hii UMEUINGIZWA CHAKA huyu Mungu wa siri ndio Jabullon mungu wa Kabili kama unavyomuita unaweza muita Sataniel au mungu wa babeli kimsingi hujaja na hoja yenye mashiko na kwa Jina la YEHOVA Ktk Yesu Kristo "Kimya"
 
Zaburi 10:4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote;Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.
 
Mungu alijitambulisha kwa Musa kuwa

'Mimi ndimi Mungu wa Baba zako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo. Hili ndio jina langu hata katika kizazi cha tatu na cha nne' Mimi ni niko ambaye niko, hapana Mungu mwingine isipokuwa mimi.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…