KWAHIYO ULIKUWA UNASEMAJE??Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.
Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi anaetajwa kama mganga mwenye nguvu kubwa za kiganga kuliko waganga wote wanaopatikana katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kati na Kusini mwa Afrika.
Nianze kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu wa Kabili kusema ukweli ameniongoza vizuri sana na kunipa mwanga halisi kuhusu masuala yote yanayo husiana na uganga, uchawi, ulozi, imani za jadi, upagani, imani za kale na imani za siri.
Nirudi kwenye mada yangu kuhusu imani za siri.Dokta Mungu wa Kabili alinieleza kwa kina kuhusu vikundi mbalimbali vya siri duniani ambavyo vinatajwa kuwa na mafundisho ya kiimani ya siri ambayo hujulikana tu kwa memba wao. Vikundi hivyo ni kama Freemasons na Rosecrucians kwa kutaja vichache. Nijikite kwa Freemasons. Mungu wa Kabili aliniambia mambo mengi sana ya kushangaza kuhusu Freemasons.
Kwa ufupi kabisa mambo nillyo jifunza kuhusu Freemasons ni kama ifuatavyo;
1.Freemasons wanafundishwa kuhusu Mungu aliye uumba ulimwengu na namna ya kuishi hapa duniani katika namna impendezayo yeye.Watu wa dini zote wangefundishwa kuhusu Mungu katika namna wanayo fundishwa Freemasons basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.Mafundisho ya Freemasons kuhusu Mungu yanamchambua Mungu vizuri sana.
2.Freemasons wanafundishwa kuhusu ulimwengu, wanadamu na vitu vyote vilivyo ndani yake vinavyo onekana na visivyo onekana katika namna ambayo watu wa imani nyinginezo hawafundishwi.
3.Freemasons hawaamini kabisa katika black magic kwa hiyo ile dhana ya kwamba eti ukitaka utajiri nenda kajiunge Freemason umtoe kafara nduguyo ni dhana Potofu kutoka kwa watu wasio na ufahamu wowote kuhusu what freemasonry is.
4. Mfumo wa mafundisho ya freemasonry umenifanya nigundue kitu kimoja kwamba dini ya ukweli ni lazima iwe ya siri. Siri hiyo ndiyo inayo wapa waasisi wa dini au imani hiyo kuwa na nguvu dhidi ya watu wengine.
5.Kitu kingine nimegundua kwamba upako wa uhakika unapatikana kwa kujua siri zilizofichwa nyuma ya uwepo wa mambo yasiyo julikana.
eti huyu nae 'great thinker'!!... na 'utafiti' wa kiwango hiki!!...Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.

Miminaweza kushindwa kujibu swali lolote katika ulimwengu ambaoMungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Kama wewe Ulivyoshindwa Kujibu Swali
Sasa nikuulize je na wewe unapenda watu waishi katika kumjua Mungu kamili kama ilivyo kwa hao Mason...Sio kweli
Kiranga inaonekana ulivyo kuwa shule ya msingi ulikuwa bingwa wa multiple choices.Ur picking questions to answer..
U pick questions.Hoja za Pharaoh unazikwepaBora hivyo.
Inaonekana wewe mpaka leo hujui kutoa mfanounaohusika.
Bingwa wa multiple choice shuleni ni bingwa wa kuchagua majibu yatakayokwenda sawa na swali alilopewa, si bingwa wa kuchagua maswali.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Haya tuambie sasa hizo siri zitakazotuweka huru na kutufanya tumjue Mungu kamiliUsiulize babu pigia mstari
Hoja gani? Rekebisha spelling. Kukimbia si mpaka uweze hata kujua spelling kwanza, wewe kuandika tu hujui nitakukimbia kwa kipi?Jibu hoja sio unakimbia kimbia
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu jamaa na Mshana Jr wanatakiwa waanzishe imani yao
Hoja zipi, nimekuulizaweka post number hapa tuone hoja gani sijajibu, umeweka?U pick questions.Hoja za Pharaoh unazikwepa
Habari za Mungu wa ukweli haziwezi kuwekwa hadharani mjomba..Ukimjua Mungu wa ukweli utapata knowledge ambayo itakusaidia Ku acquire, maintain and protect powerHaya tuambie sasa hizo siri zitakazotuweka huru na kutufanya tumjue Mungu kamili
Pharao pamoja na mambo mengine amekuuliza kwa mtazamo wako , binadamu ametoka wapi? Asili ya ulimwengu ni nini?Hoja zipi, nimekuulizaweka post number hapa tuone hoja gani sijajibu, umeweka?
Angalia wewe usije kuwa umekimbia swali langu la kukutaka uweke post ambayo haijajibiwa.
Mimi kujibu sina tatizo, hata kama sijui kitu nitakujibu sijui.
Mtu ambaye kashakubalihilo, kujibu haiwezikuwa tatizo.
Tatizo ni mtu anayejifanya anajua kila kitu, ana chama cha siri, ana simu ya kumpigia Mungu.
Huyo ndiyo akipewa swali hawezikujibu anakimbia, kwa sababu asipoweza kujibu anaonekana Mungu wake wa uongo.
Wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.
Sasa zitawekwa wapi? Maana kila mtu anayo haki ya kujua ili aishi maisha ya furaha na amani kama waishivyo Mason.Habari za Mungu wa ukweli haziwezi kuwekwa hadharani mjomba..Ukimjua Mungu wa ukweli utapata knowledge ambayo itakusaidia Ku acquire, maintain and protect power