Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

Pale Kawe beach kunguru ni kero,ukeagiza chakula tu ni fujo...nadhani ndiyo beach yenye kunguru wengi duniani.
 
Kunguru hawa waliingia mwishoni mwa miaka ya 60 na walikuwa wachache sana na waliishi katikati ya jiji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…