sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kunguru hao wangekuwa wa kutafuna mbu wa Dar mbona huo mradi ungekuwa bomba.Bilioni saba duh mbona hayo mabilioni yangetumika na program nyinginezo mji wa dar ungekuwa safi na wa kupendeza mnooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguru hao wangekuwa wa kutafuna mbu wa Dar mbona huo mradi ungekuwa bomba.Bilioni saba duh mbona hayo mabilioni yangetumika na program nyinginezo mji wa dar ungekuwa safi na wa kupendeza mnooo
OoohMtego wa mwisho kuuona ulikuwa karibu na Ofisi ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe.
Hapana shaka mitego hii ilikuwa chini ya UNDP.
Kwamba kunguru hawa ni wapeleleziHao kunguru ni codes moja mbaya sana watu hawajui tu. Wanaweza kuja tumika kama biological weapon siku ukitaka angamiza wtz.
Hapana wanaweza kuwa biological weapon.Kwamba kunguru hawa ni wapelelezi
Ooh hapo nimeanza kukuelewa!Hapana wanaweza kuwa biological weapon.
wanaweza kutumika kusambaza magonjwa ya kuambukiza
Uchafuzi wa mazingiraKuna eneo limaitwa Sultan lipo Mrogoro(M) aisee ile barabara ya Mangesho ni hapafai ukipita pale unapita kimchale chale. Miti inapendezesha sana lile eneo ila kero kubwa imekuwa ndio makazi ua kunguru wale. Mpaka barabara imechafuka tokana na kinyesi chao
Sorry for thatSina roho mbaya hiyo, unaweza ukafanya hayo bila kushirikisha wengine.
Kunguru hafugiki wala sio wa kumkaribisha kwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti wananizomea lakini ulishajua nia yao haikua kumwaga pombe yako bali ilikua kupata maji, ndio maana nikasema hawa kinachowasumbua sana ni kiu cha maji ndio maana wanakua na vurugu,
Wasamehe sababu wote ni viumbe wa Mungu na Rizki yao inatokana na sisi.
Na mimi sijawafuga wala kuwakaribisha ila nimeweka huo utaratibu wa kuwapa maji kwenye chombo chao maalum na maji hayo hawayatumii tu Kunguru kuna Ndege wengine wanakunywa, Paka, na waduduKunguru hafugiki wala sio wa kumkaribisha kwako
We utakuwa mkulima wa pdf,yaani hujui hata maana ya pembejeo? Karanga si pembejeo.Mfano wa pembejeo ni mbolea,mbegu za kupanda,sumu za wadudu waharibifu n.kJaman kumbe wamefikia hatua ya kula pembejeo!? Huko buza wanaiba sana chupi zilizoanikwa hasa zile tandabui kama barakoa! Wanazichukua wakizani utumbo
Rai yako ina manufaa, lakini hili la Waziri mkuu Lowasa kuleta Kunguru ni uzushi.Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja!
Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija!
Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi!
Historia inasemekana wazo la kuleta mbegu ya hawa kunguru weusi lilifanyika katika utawala wa CCM chini ya waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ambapo liligharimu bilion 7.5 Wakiwa na lengo kwamba Kunguru hawa weusi wangesaidia kula uchafu huko mahospitali!
Bahati mbaya maamuzi hayo yalifanyika pasipo utafiti wa kitaalam!
Kundi la kwanza lilimwagwa Zanzibar! Na baadae wakazaliana na wengine walisafili kuja Tanzania bara kwa kudandia meli na majahazi baharini!
Hivi sasa kunguru hawa ni kero kubwa sana kwa taifa na wananchi!
1. Wanapiga makelele baadhi ya makundi mahospitalini
2. Wanachafua mazingira ya miti na kujisaidia ovyo.
3. Wanaharibu miundombinu ya umeme na kusababisha ukosefu wa umeme kwa dharula (wanabeba vipande vya waya wanapotua kwenye nyaya za tanesco wanagonganisha waya transfoma zinazima-KERO)
4. Wanachafua nguo za wananchi zilizoanikwa juani!
5. Wanawasumbua sana walevi na wapenda nyama choma huko bar
6. Wana wanyea mav hasa wanapoona mtu kavaa vizuri hususan MTU akivaa nguo nyeupe au ya kung'aa
7. Wanapokonya chakula watoto wadogo
8. Wanaipua mboga jikoni na kula hata kama ilifunikwa
9. Wakifa Hawaozi haraka
10. Ni hatari kwenye baadhi ya injini hasa maeneo ya uwanja wa ndege
Kiufupi hawa kunguru weusi wana kero nyingi ambazo lazima serikali ifanye mpango mkakati kuwatokomeza kabla hawajaongezeka!
Kama serikali itashindwa basi tenda wapewe wachina watuondolee huu upuuzi unaozidi kuzaliana!
WATU WAZURI HUSHUGHULIKIA KERO ZA WATU ILI WAKUMBUKWE KWA MAZURI NA SI KWA MABAYA
Hahah asante afisa kilimoWe utakuwa mkulima wa pdf,yaani hujui hata maana ya pembejeo? Karanga si pembejeo.Mfano wa pembejeo ni mbolea,mbegu za kupanda,sumu za wadudu waharibifu n.k
Hivyo viganja vya mikono unajua kupika kweli? Au kuosha sufulia! MaanaI've rescued this baby bird today, baada ya matone kadhaa ya maji kakapata nguvu na kuruka kurudi kwa familia yake [emoji3059]View attachment 2443212
Jamaniiiiii,Hivyo viganja vya mikono unajua kupika kweli? Au kuosha sufulia! Maana
Ogopa sana kunguru wanamagonjwa mengi ..coz wanasafiri umbali mrefu na kula kila Aina ya uchafuHata mimi hawaniogopi, naweza nikawa nje nimekaa wakawa pembeni yangu ila akitokea mtu mwingine wanaondoka,
Napenda sana Ndege na Wanyama.
Kwa watoto wadogo wanaweza kata watoboa machoSipikii nje sababu sina jiko la nje, hawaingii ndani na nafua kila siku hawajawahi kunyea nguo zangu na hata ikitokea wamenyea so what? Mavi ya Kunguru yana madhara gani hadi inifanye niwachukie?
Unapika kwa rice cooker embu njoo Pm nikufundishe namna ya kisonga ugaliJamaniiiiii,
Kupika najua ila kusugua sufuria siwezi