Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu.
Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea.
Tetemeko ambalo halijapata kuweko tangu kuumbwa kwa dunia, ngurumo, maji kutiwa damu, sijui nge wenye ukali dah mixer ziwa la moto na dunia nzima kutiwa giza.
Ndugu zangu tutubu yanayokuja ni noma halafu mbaya zaidi "njia ni nyembamba wapitao ni wachache", maana yake katika watu tuliopo bilioni7+ watakaookoka ni wachache sana.
Tumaini kubwa ni kuwa Yohana alitazama akaona "mkutano mkubwa wa kila lugha,kabila,jamaa na wala hapana mtu awezae kuuhesabu" meaning ni wengi wataokoka.
Yaani mpaka mimi mwenyewe kama sielewi hivi, anaeelewa anieleweshe hapo.
Ila nachosema ni kuwa kama yaliyoandikwa yatatokea kweli patakuwa patashika nguo kuchanika na kusaga meno, ushawahi kusaga meno! Yasikie tu, ila Ole Ole Ole wao ole wetu tunaoyasoma maneno ya Ufunuo!