Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
- Thread starter
- #21
Amen.Mwaka utabadirika utakuwa kama mwezi na mwezi utakuwa kama wiki na wiki itakuwa kama siku na siku itakuwa kama masaa, watahubiri utajiri kuliko ufalme wa Mungu, watu watausaka utajiri kuliko ufalme wa Mungu, wataibuka watu wanajiita manabii ambao ni manabii wa uongo watafanya miujiza ya kila namna, Watu watakuwa wabinafsi watajilimbikiza mali na kuacha wengine maskini wa kutuma. Ewe mwenyezi Mungu naomba unisamehe Dhambi zangu zote, unipe kifo chema na niuone ufalme wako wa Mbinguni. Amen
Kuna mambo yameandikwa pia kwenye Mathayo 24 yanatisha anasema mwandishi lingetokea pigo kubwa ole yetu tungetamani tusingezali ila kwa rehema zake huo wakati ulipitilizwa yaani ni kama waliuoforward usitokee.
Pia imeandikwa kwamba ili Yesu kristo arejee sharti injili ihubiriwe ulimwengu mzima, sharti yaani lazima hapo ndio ule mwisho utakuja.