Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

Halafu hiyo adhabu ya milele ni kwamba unachomwa tu moto milele halafu hufi? au unachomwa unateketea? Hebu nielewesheni hapo.
me mwenyewe sielewi mkuu
 
Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu.
Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea.
Tetemeko ambalo halijapata kuweko tangu kuumbwa kwa dunia, ngurumo, maji kutiwa damu, sijui nge wenye ukali dah mixer ziwa la moto na dunia nzima kutiwa giza.

Ndugu zangu tutubu yanayokuja ni noma halafu mbaya zaidi "njia ni nyembamba wapitao ni wachache", maana yake katika watu tuliopo bilioni7+ watakaookoka ni wachache sana.

Tumaini kubwa ni kuwa Yohana alitazama akaona "mkutano mkubwa wa kila lugha,kabila,jamaa na wala hapana mtu awezae kuuhesabu" meaning ni wengi wataokoka.

Yaani mpaka mimi mwenyewe kama sielewi hivi, anaeelewa anieleweshe hapo.
Ila nachosema ni kuwa kama yaliyoandikwa yatatokea kweli patakuwa patashika nguo kuchanika na kusaga meno, ushawahi kusaga meno! Yasikie tu, ila Ole Ole Ole wao ole wetu tunaoyasoma maneno ya Ufunuo!
Tubuni kwa maana ufalme wa Mbinguni umekaribia.
 
Ufunuo 16:

1. Nikasikia sauti kuu kutoka hekaluni, ikiwaambia wale malaika saba, Enendeni, mkavimimine vile vitasa saba vya ghadhabu ya Mungu juu ya nchi.

2. Akaenda huyo wa kwanza, akakimimina kitasa chake juu ya nchi; pakawa na jipu baya, bovu, juu ya wale watu wenye chapa ya huyo mnyama, na wale wenye kuisujudia sanamu yake.

3. Na huyo wa pili akakimimina kitasa chake juu ya bahari, ikawa damu kama damu ya mfu, na vitu vyote vyenye roho ya uhai katika bahari vikafa.

4. Na huyo wa tatu akakimimina kitasa chake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu.

5. Nami nikamsikia malaika wa maji akisema, Wewe u mwenye haki, uliyeko na uliyekuwako, Mtakatifu, kwa kuwa umehukumu hivi;

6. kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe; nao wamestahili.

7. Nikaisikia hiyo madhabahu ikisema, Naam, Bwana Mungu Mwenyezi, ni za kweli, na za haki, hukumu zako.
 
Ufunuo 16
8. Na huyo wa nne akakimimina kitasa chake juu ya jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto.

9. Wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu.

10. Na huyo wa tano akakimimina kitasa chake juu ya kiti cha enzi cha yule mnyama; ufalme wake ukatiwa giza; wakatafuna ndimi zao kwa sababu ya maumivu,

11. wakamtukana Mungu wa mbingu kwa sababu ya maumivu yao, na kwa sababu ya majipu yao; wala hawakuyatubia matendo yao.
 
Biblia na Quran zote NI hadisi Tuu za waarabu na WAZUNGU, wanajua wenyewe kwanini walitunga hizo hadithi, MUNGU YUPO lakini siamini hizi dini
Huenda lakini yakupasa uthibitishe dai lako mkuu
 
Ufunuo 16:
12. Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.

13. Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.

14. Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

15. (Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)

16. Wakawakusanya hata mahali paitwapo kwa Kiebrania, Har-Magedoni.

17. Na huyo wa saba akakimimina kitasa chake juu ya anga. Sauti kuu ikatoka katika hekalu, katika kile kiti cha enzi, ikisema, Imekwisha kuwa.

18. Pakawa na umeme na sauti na radi; na palikuwa na tetemeko la nchi kubwa, ambalo tangu wanadamu kuwako juu ya nchi hapakuwa namna ile, jinsi lilivyokuwa kubwa tetemeko hilo.

19. Na mji ule mkuu ukagawanyikana mafungu matatu, na miji ya mataifa ikaanguka; na Babeli ule mkuu ukakumbukwa mbele za Mungu, kupewa kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya hasira yake.

20. Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.

21. Na mvua ya mawe kubwa sana, ya mawe mazito kama talanta, ikashuka kutoka mbinguni juu ya wanadamu. Wanadamu wakamtukana Mungu kwa sababu ya lile pigo la mvua ya mawe;
 
Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu.
Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea.
Tetemeko ambalo halijapata kuweko tangu kuumbwa kwa dunia, ngurumo, maji kutiwa damu, sijui nge wenye ukali dah mixer ziwa la moto na dunia nzima kutiwa giza.

Ndugu zangu tutubu yanayokuja ni noma halafu mbaya zaidi "njia ni nyembamba wapitao ni wachache", maana yake katika watu tuliopo bilioni7+ watakaookoka ni wachache sana.

Tumaini kubwa ni kuwa Yohana alitazama akaona "mkutano mkubwa wa kila lugha,kabila,jamaa na wala hapana mtu awezae kuuhesabu" meaning ni wengi wataokoka.

Yaani mpaka mimi mwenyewe kama sielewi hivi, anaeelewa anieleweshe hapo.
Ila nachosema ni kuwa kama yaliyoandikwa yatatokea kweli patakuwa patashika nguo kuchanika na kusaga meno, ushawahi kusaga meno! Yasikie tu, ila Ole Ole Ole wao ole wetu tunaoyasoma maneno ya Ufunuo!
Tutubu na kumrudia Mungu wetu mwenye huruma na upendo ili tusije kuangamizwa...
 
Imagine hivyo vitu vyoote vya kutisha vilivyoandikwa kwenye ufunuo, hiyo ndio mipango ya mungu kwa mwanadamu, kabla hata hajamuumba! Yaani mungu tangu anaumba dunia akaandaa kabisa na hayo mapigo, majipu, funza, magonjwa, matetemeko, moto nk huku akijua kabisa hayo anayaandaa kwaajili ya mabilioni ya watu wake atao waumba!

Ili asije akakosa watu wa kuchoma moto na kutesa, akaona amuumbe shetani, akamuwekea roho ya uasi ili amuasi, then amtupe duniani.. of all the planets and stars akaona amtupe humu tulipo sisi ili aje atudanganye, na kwa jinsi alivyompa shetani mamlaka yote duniani, alijua kabisaa hatuchomoki! Sasa unadhani tungechomoka hayo mapigo yote, mamoto nk aliyoandaa si yangekua kazi bure?

Kwakweli mungu anatupenda sana.
 
Dah imebidi nicheke maana mkuu umeandika kwa huzuni sana na hisia kali
 
Mkuu mimi nikuambie tu.. kama kweli mungu yupo, na mbingu zipo, na moto upo.. kwa attitude ya mungu huyu wa kwenye biblia HAKUNA KIUMBE KITAINGIA MBINGUNI trust me..!

We mungu ambae anaweza kumtoa MWANAE WA PEKEE aje asulubiwe na kuuawa msalabani unaona kabisa akikuingiza mbinguni mmatumbi kama wewe? Kwa kipi hasa?

Hao mitume tu wa Yesu walikula tocha ya kufa mtu wengi waliuawa vifo vya kutisha balaa... ndio wewe kajamba nani uje uingie kilaini eti kwa kusema tu bwana asifiwe? 🤣🤣
 
haha 😂 mbinguni ni pa wachache sana mkuu tuzidi kuombeana
 
Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu.
Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea.
Tetemeko ambalo halijapata kuweko tangu kuumbwa kwa dunia, ngurumo, maji kutiwa damu, sijui nge wenye ukali dah mixer ziwa la moto na dunia nzima kutiwa giza.

Ndugu zangu tutubu yanayokuja ni noma halafu mbaya zaidi "njia ni nyembamba wapitao ni wachache", maana yake katika watu tuliopo bilioni7+ watakaookoka ni wachache sana.

Tumaini kubwa ni kuwa Yohana alitazama akaona "mkutano mkubwa wa kila lugha,kabila,jamaa na wala hapana mtu awezae kuuhesabu" meaning ni wengi wataokoka.

Yaani mpaka mimi mwenyewe kama sielewi hivi, anaeelewa anieleweshe hapo.
Ila nachosema ni kuwa kama yaliyoandikwa yatatokea kweli patakuwa patashika nguo kuchanika na kusaga meno, ushawahi kusaga meno! Yasikie tu, ila Ole Ole Ole wao ole wetu tunaoyasoma maneno ya Ufunuo!
Usiogope mkuu zile ni story tu
 
Back
Top Bottom