Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

Mkuu mimi nikuambie tu.. kama kweli mungu yupo, na mbingu zipo, na moto upo.. kwa attitude ya mungu huyu wa kwenye biblia HAKUNA KIUMBE KITAINGIA MBINGUNI trust me..!

We mungu ambae anaweza kumtoa MWANAE WA PEKEE aje asulubiwe na kuuawa msalabani unaona kabisa akikuingiza mbinguni mmatumbi kama wewe? Kwa kipi hasa?

Hao mitume tu wa Yesu walikula tocha ya kufa mtu wengi waliuawa vifo vya kutisha balaa... ndio wewe kajamba nani uje uingie kilaini eti kwa kusema tu bwana asifiwe? 🤣🤣
NAHISI hizi story zote za hivi vitabu vya Dini NI story tuu, japo Mungu yupo
 
Ah wapi mkuu zinatisha yani nikiangalia horror movie kisha nilinganishe na ufunuo, ufunuo unatisha kuzidi hata horrors 😂
Nyie watu nyie 🤓 Una maana hata mzigo WA pope exorcist,the priest ,saw ,insidious chapter,IT chapter, unholy.evil eyes Spanish pale Kwa revelation hauingie kabisa . Hivi hii series ya FROM unaionaje mkuu ?
 
Sisi hatuwezi kuwa kati ya hao wachache mkuu hamna haja ya kujipa moyo. Yeye mungu tayari ana watu wake, sisi wengine tupo kuhakikisha moto haukosi wateja.
Dah 😅 Kuna mwamba alisema kama kweli watahukumu ety kila mtu dhambi yake isomwe mojamoja mpaka ziishe kuja wanifikie mimi aah watakua washachoka sana
 
Nyie watu nyie 🤓 Una maana hata mzigo WA pope exorcist,the priest ,saw ,insidious chapter,IT chapter, unholy.evil eyes Spanish pale Kwa revelation hauingie kabisa . Hivi hii series ya FROM unaionaje mkuu ?
Mkuu Movie ya Revelation ikiandaliwa sawia na maneno yalivyoandikwa utazimia kuitazama😎
 
NAHISI hizi story zote za hivi vitabu vya Dini NI story tuu, japo Mungu yupo
Mimi pia nahisi mungu yupo, ila sio huyu tunaeambiwa na vitabu wa kuchoma watu huyu haezi kua ndio mwenyewe. Yaani mungu mwenye uwezo wote kwanini achague kuumba watu dhaifu kama sisi halafu aje atuchome?
 
Hizo NI story Tu kuna maswal meng, Dini mpya hizo, MUNGU YUPO KABLA hata WAKOLONI hawajatuletea hizi dini
 
Hivi vitabu vya dini vinatufundisha namna sahihi yakuishi katika kujaliana kuchukuliana, kusameheana, kupendana, kutokuchukiana,
Pia imetufundisha namna sahihi ya ufanyaji kazi kwa maarifa , uaminifu, ubora , hata kujituma Kwa bidii hizi ni kanuni za Mungu hasa ukitaka kufanikiwa kwenye kazi zako

Hata kuhusu malezi ya watoto Kuna muongozo pia Kwa hiyo hv vitabu vya dini ukisoma Kwa ufahamu utajifunza mengi sana

Ushindwe wewe tuu
Maneno haya yanafanya kazi kule mashatiki ya kati, kwa wazilael na waarabu,?
 
Ingekua vitabu vinatoka kwake Dini zote zingekua zinatumia kitabu kimoja, kila Dini kua na kitabu chake na mfumo wake NI dalili ya UBABAISHAJI.
Hapana unamaanisha kwamba vitabu vinavyotumiwa na shule vikitofautiana maana yake hizo shule hazisimamiwi na Baraza moja la mitihani
 
Hapana unamaanisha kwamba vitabu vinavyotumiwa na shule vikitofautiana maana yake hizo shule hazisimamiwi na Baraza moja la mitihani
Kwahiyo MUNGU ndio kaweka Matabaka.? Yani mchukiane Kwa vitabu vyake mwenyewe? Mtofautiane ? Huo mfano, Baraza Moja la mitihani Linaweza kusahihisha mitihani kutoka nchi tofauti? Mitaala tofauti? Yani wewe mkristo unaweza kumtungia mitihani muislamu? Wakati Muislamu anaamini yeye ndio Dini ya ukwel wengine nyie makafiri.? Fungua ubongo huo blaza
 
Hata watoto wa baba mmoja huchukiana na kutofautiana licha ya kuwa babayao ni mmoja
 
Back
Top Bottom