Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

NAHISI hizi story zote za hivi vitabu vya Dini NI story tuu, japo Mungu yupo
 
Ah wapi mkuu zinatisha yani nikiangalia horror movie kisha nilinganishe na ufunuo, ufunuo unatisha kuzidi hata horrors πŸ˜‚
Nyie watu nyie πŸ€“ Una maana hata mzigo WA pope exorcist,the priest ,saw ,insidious chapter,IT chapter, unholy.evil eyes Spanish pale Kwa revelation hauingie kabisa . Hivi hii series ya FROM unaionaje mkuu ?
 
Sisi hatuwezi kuwa kati ya hao wachache mkuu hamna haja ya kujipa moyo. Yeye mungu tayari ana watu wake, sisi wengine tupo kuhakikisha moto haukosi wateja.
Dah πŸ˜… Kuna mwamba alisema kama kweli watahukumu ety kila mtu dhambi yake isomwe mojamoja mpaka ziishe kuja wanifikie mimi aah watakua washachoka sana
 
Nyie watu nyie πŸ€“ Una maana hata mzigo WA pope exorcist,the priest ,saw ,insidious chapter,IT chapter, unholy.evil eyes Spanish pale Kwa revelation hauingie kabisa . Hivi hii series ya FROM unaionaje mkuu ?
Mkuu Movie ya Revelation ikiandaliwa sawia na maneno yalivyoandikwa utazimia kuitazama😎
 
NAHISI hizi story zote za hivi vitabu vya Dini NI story tuu, japo Mungu yupo
Mimi pia nahisi mungu yupo, ila sio huyu tunaeambiwa na vitabu wa kuchoma watu huyu haezi kua ndio mwenyewe. Yaani mungu mwenye uwezo wote kwanini achague kuumba watu dhaifu kama sisi halafu aje atuchome?
 
Hizo NI story Tu kuna maswal meng, Dini mpya hizo, MUNGU YUPO KABLA hata WAKOLONI hawajatuletea hizi dini
 
Maneno haya yanafanya kazi kule mashatiki ya kati, kwa wazilael na waarabu,?
 
Ingekua vitabu vinatoka kwake Dini zote zingekua zinatumia kitabu kimoja, kila Dini kua na kitabu chake na mfumo wake NI dalili ya UBABAISHAJI.
Hapana unamaanisha kwamba vitabu vinavyotumiwa na shule vikitofautiana maana yake hizo shule hazisimamiwi na Baraza moja la mitihani
 
Hapana unamaanisha kwamba vitabu vinavyotumiwa na shule vikitofautiana maana yake hizo shule hazisimamiwi na Baraza moja la mitihani
Kwahiyo MUNGU ndio kaweka Matabaka.? Yani mchukiane Kwa vitabu vyake mwenyewe? Mtofautiane ? Huo mfano, Baraza Moja la mitihani Linaweza kusahihisha mitihani kutoka nchi tofauti? Mitaala tofauti? Yani wewe mkristo unaweza kumtungia mitihani muislamu? Wakati Muislamu anaamini yeye ndio Dini ya ukwel wengine nyie makafiri.? Fungua ubongo huo blaza
 
Hata watoto wa baba mmoja huchukiana na kutofautiana licha ya kuwa babayao ni mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…