Kama yaliyoandikwa kwenye ufunuo yatatokea, tuna tabu sana!

Tuendelee tu kuamini Mungu yupo na anatenda (imani) ila masuala ya vitisho yaliwekwa kimkakati tu kwa wa Africa maana maandiko hayo yalisema mtu akishakufa amekufa hakuna maisha mengine "mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake ni chache.....
 
SISI HATUNA SHIDA YESU KRISTO KABEBA DHAMBI ZETU TUKO WEUPEE TU alisikika mlevi mmoja iv pale MATAKO BAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…