Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

Pia alizikwa kwenye pango lililochongwa kama kaburi itabidi pia tuache kuzikana kwenye udongo au sio
 

Imani ya kikristo haijajengwa kwenye mfumo na tamaduni za kiyahudi,tofauti na waisalmu huwezi tofautisha hii ni imani au utamaduni wa waarabu,ndio mana hua na sema uislam ni utamaduni wa waarabu na wala sio imani.
 
Boss pengine ungendelea kudadisi ukaupata ukweli maiti ya kikristo nayo huoshwa Kama nyingine sema maiti ya kikristo huoshwa pasipo itoa ngama Kama waislam pia maiti yakikristo nayo huvishwa sanda Kisha huvishwa hiyo suti Kama. Ipo au nguo yoyote ambayo wanafamilia wameamua
 
kaburi halihitaji mbwembwe.. ufe ;uzikwe na sanda ama suti.. haibadilishi jina la maiti wala yale uloyatenda ukiwa hai kama ni mema au mabaya.
 
Anyway suti ni sanda ya kisasa, siku nyingine uwe na maswali yenye kichwa hadi miguu
Umemjibu vema maana sijui kama hata yeye anava kanzu kama Ile ya Yesu iliyopigiwa kura na maaskari waliomsulubisha. Sanda na manukato ilikuwa DESTURI YA WAYAHUDI kwenye kuzika marehemu. Kama unataka basi fuata na DESTURI zao zote ikiwamo kutawadha na zile Sheria zingine zaidi ya 600 walizoziongeza kwenye zile amri kumi. Sisi ni Wakristo siyo Wayahudi. Mambo Yao waachie wenyewe.
 
Zamani hakukuwa na suti... kwahiyo kama zingalikuwepo tungalimvalisha tukamzika nazo
 
We nae ni walewale bendera
 
We theology umejifunza choose gani? Au mtandaoni
Swali lako Wala halina mashiko maana hujui tofauti kati ya knowledge na certificate. Mtume Petro alijifunza wapi theology mpaka Leo maprofesa wanatilofautiana kwenye kuandika exegesis za nyaraka zake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…