Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
-
- #41
Ila imani yenu inafuata maelekezo ya papa na wazungu a.k.a upindeImani ya kikristo haijajengwa kwenye mfumo na tamaduni za kiyahudi,tofauti na waisalmu huwezi tofautisha hii ni imani au utamaduni wa waarabu,ndio mana hua na sema uislam ni utamaduni wa waarabu na wala sio imani.
Petro nae mtume kumbe?Swali lako Wala halina mashiko maana hujui tofauti kati ya knowledge na certificate. Mtume Petro alijifunza wapi theology mpaka Leo maprofesa wanatilofautiana kwenye kuandika exegesis za nyaraka zake??
Swali lako Wala halina mashiko maana hujui tofauti kati ya knowledge na certificate. Mtume Petro alijifunza wapi theology mpaka Leo maprofesa wanatilofautiana kwenye kuandika exegesis za nyaraka
Sawa iyo knowledge yako umepata wapi? Nmekubali kuwa knowledge ni independent variable, je umezaliwa nayo au umejifunzia wapi? AU experienceππππSwali lako Wala halina mashiko maana hujui tofauti kati ya knowledge na certificate. Mtume Petro alijifunza wapi theology mpaka Leo maprofesa wanatilofautiana kwenye kuandika exegesis za nyaraka zake??
Nikikuambia nimesoma Gregorian University itakusaidia Nini? Jaribu kuuliza maswali yenye kujenga.Sawa iyo knowledge yako umepata wapi? Nmekubali kuwa knowledge ni independent variable, je umezaliwa nayo au umejifunzia wapi? AU experienceππππ
Why kijora na si mtandio?Huna facts kama ndo hvo kwann mtu akifa kwann msimvishe kijora Sndo habari yamjini kwann mnaiga wazungu kuvaa suti
Wachague kimojaWhy kijora na si mtandio?
Kwahyo huko ndo wakakufundisha kua sanda ni vazi la kizamani la marehemu na suti ndo lakisasa?Nikikuambia nimesoma Gregorian University itakusaidia Nini? Jaribu kuuliza maswali yenye kujenga.
Unashindwa kutofautisha teknolojia na utamaduni na mafundisho ya dini, swali je wote wa kipnd cha yesu walizikwa mapongoni? Jbu ni hapana! Na je wote walivikwa sanda? Jibu ni ndio! Kwann walivikwa sanda? Je walikua hawana nguo nzuri? Jibu hapana! Sababu ni nini mpaka hawakuvikwa sanda ni maagizo ya dini, teknolojia au utamaduni? Jbu unalo mwenyewUkiweka msisitizo katika mambo ya utamaduni mila na desturi za wakati huo yafanyike leo utakosea.
Ukimaliza suala la sanda utadai wakazikwe kwenye mapango kama Yesu alivyo zikwa kisha wakavingirisha jiwe kubwa kuziba mlango wa pango (kaburi ).
kisha utadai wakristo wakazalie kwenye mazizi ya kondoo kama Yesu alivyo zaliwa.
Unafikiri kipindi hicho kulikuwa na charahani za kushonea suti wanazo zikiwa wakristo leo?
Nyie endeleeni tu kufuata na kuiishi ustaarabu mila na desturi za waarabu wala si dhambi na tena kwenye upande wa mazishi dini yenu imeagiza iwe vile. Wapo wakristo wengi tu huzikwa na sanda, nayo siyo kosa.
Mbona sasa nyie mnabeba maiti kwenye magari wakati mnaelekea mazikoni, kwani mtume alibebwa kwenye magari kama ya sasa?
Wao mtume mohamed hakutumia ndege kusafiri, waulize wao mbona wanatumia ndege?Ukiweka msisitizo katika mambo ya utamaduni mila na desturi za wakati huo yafanyike leo utakosea.
Ukimaliza suala la sanda utadai wakazikwe kwenye mapango kama Yesu alivyo zikwa kisha wakavingirisha jiwe kubwa kuziba mlango wa pango (kaburi ).
kisha utadai wakristo wakazalie kwenye mazizi ya kondoo kama Yesu alivyo zaliwa.
Unafikiri kipindi hicho kulikuwa na charahani za kushonea suti wanazo zikiwa wakristo leo?
Nyie endeleeni tu kufuata na kuiishi ustaarabu mila na desturi za waarabu wala si dhambi na tena kwenye upande wa mazishi dini yenu imeagiza iwe vile. Wapo wakristo wengi tu huzikwa na sanda, nayo siyo kosa.
Mbona sasa nyie mnabeba maiti kwenye magari wakati mnaelekea mazikoni, kwani mtume alibebwa kwenye magari kama ya sasa?
Wee una nyege zinakusumbua.Ila imani yenu inafuata maelekezo ya papa na wazungu a.k.a upinde
[emoji23]Yesu alisafiri kwa punda, KWENYE V8, IST, TREKTA au POWER TILA tunafuata nini?
Mkristo maana yake ni mfuasi wa kristo.Yesu hakuwa mkristo...hapakuwrpo na ukristo.
Aulizwe NDUGAI hilp swali atalitolea ufafanuzi vizuri kabisaYesu hakuoa pia, hili suala la kuoa linatoka wapi???πππ
NakaziaYesu hakuoa pia, hili suala la kuoa linatoka wapi???πππ